Kwa majina naitwa Hussein Mohamedi Bendera kijana wa Kitanzania umri wa miaka 27.
Nachukua nafasi hiii kuwajulisha ndugu zangu kuwa natafuta kazi yoyote ile ya halali inayotumia nguvu ama ya elimu, kwenye elimu kiwango changu nilichofikia ni kiwango cha Degree na katika kozi ya ualimu (BAED)...
Kama ujumbe unavyojieleza nipo north Mara,natafuta mtu ambaye anamiliki krasha tuingie naye share,eneo la kuchimba Niko nalo na dhahabu inapatikana ,aliyeko serious anipm
Watu wa wahumu Leo naomba umakini wenu ,nilienda lindi mbali sana kufuata msaada ila umegoma nikasema basi tu.
Nikaanza kuomba kiaina ila msiniambie bhana unaenda huko bado au sijaenda huko Kwa hao watu kweli siwezi sema hapana ila nilizunguka sana nikasema bullshit. Nikaanza maombi na kweli...
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
Hello wadau'
Natafuta chumba Cha kupanga Maeneo Kama title hapo.
Kama una namba za madali Maeneo hayo naomba unisaide.
Natafuta master room
Tiles, gypsum all that
Maji umeme usiwe shida na iwe karibu na Barbara
Kusiwe na msongamano wa wapangaji wengi.
Bajeti: kisizidi laki
Habarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu
Kabila: Mmeru
Umri: 30
Dini: Mkiristo
Elimu: La 7
Kazi: Kubeba...
WanaJamii,
Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima kirefu (borehole).
Dr Riwa.
Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875
Karibuni sana, bei ni maelewano.
Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa.
MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano
Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani.
Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
Naatafuta mke awe tajiri;
~ Nina miaka 30
~ Sina mtoto
~ Nipo mkoani
~ Sina Mali
~ Nimejiajiri
MKe nimtakaye;
~ Awe tajiri
~ Umri 30 kushuka chino
~ Elimu yoyote
~ Usiwe na mtoto (kama unaye awe mmoja tu)
~ Uwe tayari kuja popote au unitumie nauli popote duniani nitakuja
~ Uwe mweupe au mweusi...
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia
Kuhusu mimi
-Umri 31years,
-Kabila Mwiraqw(Manyara)
-Nina degree moja...
Habari wakuu.
Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama utahitaji niwepo kwenye data collection pia nipo tayari.
Natanguliza shukrani na kuwatakia siku njema
Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao.
Mfano;
1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi.
2. Ps anakataa usionane na boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.