Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao.
Mfano;
1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi.
2. Ps anakataa usionane na boss...
Habari wana JF!
Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa.
Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo.
UMRI: Miaka 18-26
ELIMU: Kuanzia kidato cha nne
DINI: Mkristo.
Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa...
Habari wadau !!
Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala la kuuza hizi flakes nina tani 10 za flakes nimeenda tazata pale wameniambia kwa sasa hwanunui...
Wadau hongereni na majukumu.
Natafuta master bedroom ya hio bei. Location kuanzia Kimara mwisho - Ubungo.
Isiwe mbali na Morogoro road. Angalau umbali uwe dakika 10 tu.
Msaada tafadhali
Jina: Bety Laizer
Jinsia: Mwanamke
Umri: 33 years old
Elimu: Diploma ya Afisa Masoko
Makazi: Arusha , Tanzania
Uzoefu: Miaka 8
Email yangu ni tourismnewworldwide@gmail.com ,
Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo.
Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
Habari wana JF,
Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 24, Naitwa Isack Mussa. Ni muhitimu wa chuo kikuu (UDSM) course BCOMM HRM.
Nimehitimu 2021 mpaka sasa sijafanikiwa kupata ajira. Nipo hapa kama familia kuomba msaada wa yeyote atakae weza fanikisha Mimi kupata ajira au kazi ya kuniingizia...
Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania.
Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali.
Tunakalibisha taasisi, hospitali...
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-33.
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD).
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5. Awe mzuri na mwenye shape.
6. Awe anakaa Dar.
7. Awe Mkristo wa dhehebu lolote.
Mimi;
1. Nina...
Nina gari ambayo inahitaji kufungwa gearbox mpya lakini simjui fundi mwenye ozoefu na muaminifu hapa Dar ; wengi wa mafundi ninaowafahamu sio professional kwani sio waaminifu Ingawa unawalipa hela nzuri tu.
Sasa kama kuna mtu anamfahamu fundi muaminifu na mzoefu anaeweza kuja kunifungia...
Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani
Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.