Natafuta muwekezaji wa Golden Feldspar itokayo Tanga

Loudspeaker

Member
Feb 8, 2021
88
107
Hello,

Been a while since I posted here,,,nadhani vijana wenzangu mpo poa,,na wazee mpo fresh kabisa kiafya.

Mimi ni mchimbaji wa feldspar na nina migodi ya Golden Feldspar pamoja na carrot na mengine.

Sasa nilikuwa nina mgodi wangu mmoja wa Golden Feldspar ambao survey yake ime turn to success na sample inayotoka ni very very promising.

Sasa nilikuwa natafuta muwekezaji ili tuweze kuifanya hiyo kazi kwa pamoja,,ambapo yeye ataweka mtaji pesa, then nitampa asilimia ya kutosha tu,,,maana site ni ya kwangu.

Nina attach sample video na picha ya hayo mawe,,mimi mtaji sina ndo maana nikaona itakuwa vyema kuja kwa Watanzania.
IMG_0163.jpeg
wenzangu,,nikaomba ushirikiano ili tuweze kutafuta riziki kwa pamoja…For further communication nicheki whatsapp at +255788257485 or normal calls +255747282808
 

Attachments

  • IMG_0177.jpeg
    IMG_0177.jpeg
    1.5 MB · Views: 8
Back
Top Bottom