Natafuta kazi aina yoyote

Natafuta kazi aina yoyote

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,073
Reaction score
6,325
Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano.

Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara.

Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
 
Natumaini ntapata kazi, Asante [emoji120]
Hujataja jinsia, ME ama KE.
Samahani kwa hili..
 
Mambo vipi ndugu zangu wa JF mko vema kabisa na mnaendelea na mapambano.

Ombi langu Natafuta kazi yoyote tu mimi ni kijana miaka 27 sina ujuzi wowote, napatikana Mara.

Natumaini ntapata kazi, Asante 🙏
Kweli kichwani umetulia sawasawa ndugu? Haujavurugwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom