Natafuta Mchumba aje kuwa mke

Shift

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
1,078
2,148
Habari za Kazi,

Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa.

Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama atakua mkoani. Kama uko tayari au unafikiri unaweza kunifaa karibu.

Mimi ni mjasiriamali, najimudu, nimeshajenga, niko tayari kwa ndoa, elimu yangu ni Masters, sio mrefu ila sio mfupi, inategemea na urefu wako au ufupi wako.

Only serious ladies tafadhali.
 
Kila la kheri Mkuu katika utafutaji
 
Hizi nyuzi mbona zinakujaga sana siku za Ijumaa,walengwa hapa mnatakiwa muwe makini...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom