Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

mambo_safi

Senior Member
Jul 22, 2019
147
392
Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula.

Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka asubuhi saa 11 na kuweka nyumba katika hali ya usafi, anaenda kuuza dukani mpaka saa 3 usiku! Duka liko hapo nyumbani ila limejitenga na nyumba. Mshahara laki moja! Ukiwa interested njoo PM! Usidanganywe na avatar yangu mimi ni 'me'
 
Unadhani watu wote wanandugu wa kuajiri? Hata kama wapo unadhani wanaajirika? Hata kama wanaajilika wakati mwingine unaleta maneno kwa ndugu na malalamiko kibao ya kujihesabia haki na kutojituma na kuwa mwaminifu! Siwezi kuajiri ndugu
Nakuunga mkono 💯 kuajiri ndugu wakati mwingine ni maneno kuwa unamnyanyasa! Lakini mtaa ukimnyanyasa kwa kukosa hata hela ya pedi hawapigi kelele
 
Unadhani watu wote wanandugu wa kuajiri? Hata kama wapo unadhani wanaajirika? Hata kama wanaajilika wakati mwingine unaleta maneno kwa ndugu na malalamiko kibao ya kujihesabia haki na kutojituma na kuwa mwaminifu! Siwezi kuajiri ndugu
Nakuunga mkono pia🤝
Pili ukimuajiri ndugu usitegemee kazi yako kufanyika kwa kiwango kizuri kwasababu atajiona mtoto wa mama! Lawama na mengine kibao
 
Back
Top Bottom