Kwani kuna mvua tena inakuja jamani, hebu mtueleze na ss tutangaze!Natafuta mchumba/mwenza wa kike awe na umri miaka 25 kushuka chini awe dsm
Kumbe shida ni mvua,pole!!Natafuta mchumba/mwenza wa kike awe na umri miaka 25 kushuka chini awe dsm
😘😘😘😋
Kweli mvua zimezidi....kaandika harakaharaka kweli
dada miaka 25 kushuka chini..??
Utajieleza ukiwa ndani ya ndoa bhanadada miaka 25 kushuka chini..??
Seriously..??
Hataki mambo mengiKweli mvua zimezidi....kaandika harakaharaka kweli
Che tena anasajili nida ama🤣JF wadada wengi ni below 25 utawapata ila cheti cha kuzaliwa ataonyesha ndani ya HUBA