naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni. But I have to do this coz sitaki kutumia akili yangu mwenyewe nisije haribikiwa mbeleni huko. ====...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi. Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi. HISTORIA...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Je, biashara ya Uwakala inalipa? Nina milioni 2, inatosha kuanzia?

  4. K

    JamiiForums Tanzania Msipotoshe kuhusu Papa na ndoa za jinsia moja

    Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

    Habari ya muda huu, Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki. Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu mwanamke huyu

    Habari zenu. Aisee kuna mwanamke nimeingia naye kwenye mahusiano nina kama week sasa kasha nitoboa pesa kibao, yani sijui kaniona nina pesa sana, akikaa kidogo lazima aje ofisini anitoboe pesa, nishachoka sasa naombeni msaada nimkabili kwa dizaini gani, maana huku kuna wataalam wa mambo haya na...
  7. JamiiForums Tanzania Kutengeneza nyumba kama hii inagharimu kiasi gani?

    Nauliza kutengeneza kma haka ni inagharimu kiasi gani?
  8. JamiiForums Tanzania Engine ya Toyota inayoweza kuvaa kwenye TATA PICK-UP

    Waungwana habari zenu. Naombeni ushauri,nina gari yangu TATA XENON DICOR 3.0L. Nahitaji kuibali Engine niweke injini ya Toyota. Je niweke injini gani inaweza kuwa poa.?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

    Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material, Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari /...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na ushauri wenu juu ya huu mchoro wa nyumba kabla sijafanya uamuzi wa kuanza ujenzi

    Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi. Kitu gani kina upungufu na kinahitaji kuboreshwa kulingana na hii ramani hapa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini niongezeke uzito?

    Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani. Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
  13. JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  14. JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kusafiri nje ya nchi kwa basi naombeni uzoefu

    Habari ndugu wana JF. Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport. Naomba...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji kusoma uhasibu, nina cheti cha Kidato cha Nne cha Sita na degree nyingine isiyohusiana na masuala ya kifedha

    Habari zenu, Nahitaji kusoma hii fani ya uhasibu, nina cheti cha kidato cha nne cha sita na degree nyingine haihusiani kabisa n maswala ya kifedha. Nimejaribu kutafuta taarifa kidogo nimekutana na ACCA, NBAA na wale wenye degree za accountancy kutoka kwenye vyuo vikuu vya hapa nyumbani. Sasa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
  18. JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Rumion, naombeni mwongozo, ni gari nzuri au ninapotea?

    Hii gari nimeanza kuipenda siku za karibuni. Naomba kupewa muongozo wa uzuri na udhaifu wake.
  19. JamiiForums Tanzania BMW5: Naombeni Ushauri

    Poleni na hongereni na majukumu ya kila siku. Naomba ushauri kwa wadau wenye experiences na ununuzi wa "Used Cars". Inawezekana kununua gari tajwa kutokea Hongkong/China?,Turkey....(if yes, kampuni ipi?). Ni Kampuni ipi ya uhakika kwa Japanese Used Cars naweza kuagiza gari tajwa?. Wenye...
  20. JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kuniombea wapendwa

    Signed Out
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…