Hujawa Rais ili uje Uwainue Wanawake Wenzako kwa Gharama za ama Kuwadharau au Kuwadidimiza au Kuwakomoa Wanaume bali umekuwa Rais wa Watanzania Wote tu Waume kwa Wake ( Jinsia Mbili zenye Kutengeneza Muunganiko wa Kimaendeleo ) kwa Ustawi wa Mama Tanzania na Kizazi chake.
Nanyi Viongozi wa Kike...
Shabiby atoa mwarobaini kupanda bei mafuta
MBUNGE wa Gairo Mohammed Shabib ameitaka Serikali kuruhusu kampuni binafsi kuagiza mafuta wenyewe bila kutumia uagizaji wa pamoja.
Shabiby ametoa ushauri huo leo Jumatano tarehe 6 2022 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Ofisi...
Habari za muda huu ladies and gentlemen.
I wish nisikwaze mtu yeyote kwenye huu uzi.
atakaekwazika naomba anisamehe saaana
kijana mwenzenu () niko katika mchaka mchaka wa kupambana na maisha kama ilivyo ada
nimejiwekea malengo mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka huu niwe na milioni 3 na zaidi...
Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni.
Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! !
Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo
Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD)
Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
Kwa kushika nafasi ya pili teams za kukutana nazo zilizotop groups ni Orlando pirates, Ali Itihadi ya Libya au Mazembe, mimi hapo naomba tukutane na Walibya haswa ukichukulia mechi tunaanzia nyumbani.
Its been a long time Simba kufika nusu fainali, kuna kizazi hakijawahi shuhudia kabisa1974...
Habari wana jamvi,
Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
Hello JF, nina miaka 27, sijaolewa bado ila nina mchumba na kashajitambulisha kwetu. Mimi nafanya kazi kwenye NGO ya kimataifa (ni daktari kitaaluma) nina kipato kizuri tu, huyu kaka yeye hana kazi, nimejaribu kumpa mtaji kila mara anakula mpaka sasa hivi nimechoka. Tuko kwenye mahusaino huu ni...
Nipo kwenye miangaiko ya maisha kwa muda wa miaka miwili sasa baada ya kupoteza kazi.
Maisha yamekuwa magumu sana nimetumia akili, maarifa na kila ujanja lakini hali inazidi kuwa mbaya.
Kila kitu sasa nimekuwa nakipata kwa shida iwe kula iwe mahitaji yoyote ya kila siku.
Mimi ni mkiristo na...
Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka?
Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida.
Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia.
Asanteni.
Ndugu zangu Leo ilikuwa siku ya shamra shamra kubwa sana ndan ya Jiji letu la Dodoma. Nimeona mengi s'na. Ila Jambo Moja ambalo cjajua ni hili, ni vipengele vipi vimefanyiwa marekebisho ndan ya Katiba.
Habari wakuu.
Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda.
Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua wakikosa lakini pia zisizo na mlolongo mrefu sana wa kupata hizo pikipiki. Ukinijulisha mahali ofisi...
kwa sasa, na kwa mwaka huu wote nchi ya Qatar imetrend na itatrend sana sababu ya fainali za kombe la dunia kufanyika huko. naomba kuelimishwa kuhusu hii nchi.
Historia yake, utamaduni, watu wake, jiografia yake, uchumi wake nk nk. natanguliza shukrani.
Je, ni Mfumo gani Bora na unaleta Maendeleo ya haraka kwa nchi kama Rais akiwa Mahiri lakini anaongozwa na Nguvu ya Kikabila, anazungukwa na Wataalam Wabobezi wengi na ni Dikteta Mbunifu na ule ambao Rais anakuwa Dhaifu Kiasili, ila anaongozwa na Mafisadi, Mafia ( hasa Wauwaji wa Wapinga...
Habari zenu Wana jukwa. Nimeleta habari yangu kwenu kwa Lengo lakupata Ushauri na mapendekezo.
Mimi ni kijana Mwanaume Mwenye mke na mtoto, ni miongoni mwa Familia maskini Sana Mwenye elimu ndogo tuu ya Astashahada ya Habari na Mawasiliano, Nina Ndugu 6 pamoja na Mimi niwa7, wanaume tupo 4 na...
Nina kidonda ambacho kilianza kama kipele kinacho washa sana baade vikaongezeka nakuwa kidonda kinacho toa majimaji hakiumi ila kinawasha, nimeenda hospital last month walinipa dawa dozi ya vidonge 30 ila vimeisha tatizo bado, msaada wenu wana jamii kwa mwenyekuweza kunisaidia plz.
Kwa wanaofahamu machimbo ya vifaa vya ujenzi vya wizi, hasa hasa nondo. Maana si tumeamua kukomoana, wacha tutafute alternative. Pia na mabati, kama kuna anaefahamu hayo machimbo, najua yapo, maana huwa nasikiaga sikiaga watu wakinunua kwa bei ya kuokota.
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Na mama yake pia Bikira Maria alivaa gauni,sketi,suluari,au Baibui? Alivaa Hijabu au aliacha kichwa wazi,alipiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.