naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina Ordinary Diploma ya Maendeleo ya Jamii, kwenye mfumo wa ajira portal hii ndo inaitwa Diploma/FTC naomba msaada?

    Habari zenu wadau ivi kwenye mfumo wa Ajira Portal ile Diploma/FTC ni special kwa mtu aliye na kiwango kipi cha elimu?
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu plz

    Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
  3. JamiiForums Tanzania Kuna bus linalotoka Tanzania hadi Ghana?

    Naomba kujua kuna bus Linalotoka Tanzania hadi Ghana
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayojili Zanzibar kuna haja ya kuomba uraia wa visiwa hivyo. Naomba mnipe utaratibu wa kupata uraia

    Kwanza, mafuta bei yake iko chini huko Zanzibar. Pia maisha ya Wazanzibari ni nafuu mno kwasababu hakuna mfumuko wa bei. Pili, ukitupia jicho kwenye umeme bei iko chini na ni karibu na bure. Mwaka huu rais wa visiwa hivyo alitangaza kuwa nguzo za umeme itakuwa bure Tatu, mwaka wa mwisho wa...
  5. JamiiForums Tanzania Waluguru wanafukia ufuo wa maiti chumbani

    Leo nimehudhuria msiba wa waluguru nimeona mambo ya kushangaza naomba mnisaidie maelezo. Mtu amefia nyumbani kwake tena chumbani kwake anapolala na mke wake. Sasa kwakuwa marehemu ni muislam wameamua kupitia mila ya waluguru kumuosha mwili wake mulemule chumbani. Kilichotokea wamechimba shimo...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

    Wanabodi, Hili ni bandiko la hojaji kuhusu uhusiano kati dini ya mtu na IQ yake, dini ya mtu na longevity?, dini ya mtu na udikiteta, na IQ ya mtu na elimu yake, na mwisho ni IQ ya mtu na kudanganyika kirahisi. Naomba Kuwatumia Marais wa Tanzania as Sampling factors. Haya ni maswali valid...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu muda wa sensa

    Eti zoezi la sensa linaweza chukua Muda gani Tangu kuanza rasmi hadi kumalizika? Natanguliza Shukrani Ahsante #IjumaaKareem
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wataalam, tafadhali naomba kujuzwa jambo lifuatalo:

    Nakumbuka nilipokuwa na umri wa miaka 6 hivi, niliwahi kuugua sana sana. Baada ya muda, kuona kwangu kukawa kwa ajabu. Nilikuwa naona vitu viwiliviwili quite exactly! Kama mapacha waliozaliwa kutokana na yai lililogawanyika, kiasi kwamba mlangoni nilikuwa najigonga kwa kukosea mlango. Kila...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba siku nikifa nizikwe kino badala ya Bukoba

    When I die , I wish to be buried at Kinondoni and not Bukoba Thank you Why Kinondoni ? Is place where my Best friend And sibling buried Dr Ndibalema Alphonce , This man was the lecture of Udsm so he taught me various issue about Life and how I can deal with this thug life done by our leaders...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, hizi ni amplifier za nini?, kwa anayezihitaji nimuuzie

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna hivi vifaa: Naomba kujuzwa ni amplifier za nini, japo nimekuwa nikihisi ni za mitambo ya broadcasting japo sina hakika. Lakini pia kwa mwenye uhitaji nimuuzie kwani sina kazi nazo.
  11. JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kwa NECTA kutoa certificate za O-level

    Kama mada inavyojieleza hapo naomba kujua wastani wa muda ambao NECTA wanachukua KUTOA certificate kwa mwanafunzi ambaye anastahili kupata?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kamati ya ulinzi na usalama DSM naomba ipitishe huu utaratibu kwa dharula kuondoa panya road

    Juzi nilihoji humu juu ya sintofahamu kuhusu Sera ya ulinzi shirikishi! Nilisema ulinzi shirikishi mijini kinadhalia inawezekana lakini kivitendo haiwezekani! (Niliainisha sababu ikiwemo upigaji wa michango ya ulinzi na ukubwa wa maeneo) Panya road ni vikundi vinavyoratibiwa na watu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada jinsi ya kuwa mjanja ushamba umenizidia.

    Mimi BabaMorgan ni mshamba licha ya kuwa nimezaliwa jijini(Amana Hospital-Ilala) huko Dar es salaam ila kwa sasa naishi huku kaskazini magharibi ushamba wangu unaanzia kwenye lafudhi licha ya kuzaliwa Dar es salaam kitu cha kustaajabisha nina lafudhi ya kisukuma na ulimi mzito kiasi kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

    Wandugu wapendwa; Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua dawa mbadala ya vidonge vya once a day Kwa ajili ya vitamini vya macho

    Nimekuwa na shida ya macho yenye uoni hafifu kwa miaka kama mitatu sasa siwezi kuona maandishi madogo hata nikitumia lenzi yeyote ya miwani nilienda CCBRT waliniandikia dawa nyingi lakini nilipokuwa nameza sikupata nafuu nikaamua kwenda Muhimili kwa bima niliyokatiwa na mzazi baada ya vipimo...
  16. JamiiForums Tanzania Mi acha niseme tu. Serikali naomba iingilie kati suala hili

    Kwanza ni kuhusu manyanyaso tunayopata sisi tunaojivutia bhangi. Ni kero katika nchi yetu wenyewe. Polisi wanatunyanyasa sana tumekuwa tunaishi maisha ya wasiwasi, nusunusu,kigugumizi na kudua dua. Wakikukuta mtu unavuta jani wanakutia jamba jamba na kukutishia ili wapate nafasi wakupore...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa namna ya kuJibu hili swali kuhusu private company vs foreign company

    Isabela na wenzake 67 wanaushirika kwenye kampuni ya kitalii huko Venezuela. WakiJua kabisa Tanzania invavivutio vingi vya utalii basi wamewiwa kuJa kuwekeza Tanzania kwenye sekta hiyo ya utalii lakin hadi sasa wana machaguo mawili na wasijue nini cha kufanya. Ambayo ni 1.kuanzisha kampuni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
  19. JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa list ya milima ya mikunjo(folds mountain) na milima ya meza(block mountain) kwa Tanzania

    Habari wana JamiiForums Nilikuwa naomba kufahamishwa list ya milima ya mikunjo(FOLDS) na milima ya tofali(BLOCK) kwa Tanzania Nitashukuru kwa ushirikiano wenu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…