naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wanaofahamu kuhusu interview kwenye tume ya ajira.

    Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa vyuo vinavyohusika na kozi za utunzaji kumbukumbu (Records management) Mwanza

    Kichwa Cha habari kinajieleza vema, Mwenye kufahamu vyuo hivyo Jijini Mwanza naomba anipe Maelekezo na wilaya kilipo!!! Nawasilisha!!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Visit visa ya canada 🇨🇦

    Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
  4. JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery

    Wakuu kwema? Niende kwenye mada chap chap... Mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi,kazi yangu inakula mda wangu wote,sipati nafasi ya kusimamia ama kuendesha biashara zingine. Ila nina hobby ya kupiga picha ni kitu napenda toka utotoni,nikaona ili kuhiendeleza nikasoma mitandaoni na hasa...
  5. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa IST naomba calculations hapa

    IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

    Greetings wadau wangu, Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya Hali ya juu, comfortability ya Hali ya juuu barabarani, haitumiii umeme kabisa yaani old school...
  7. JamiiForums Tanzania Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Niko njia panda

    Habari! Mimi ni mwajiriwa wa serikali ofisi X kwa kada ya ulinzi. Nina miaka 7 sasa tangu niajiriwe. Nimejenga nyumba ya kawaida sana. Na nina second hand car, namaanisha namiliki gari ya kuungaunga. Ninapenda sana magari. Nimechoka kulinda. Yaani nimechoka sana maana ni kazi ambayo hata mke...
  9. JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu kutembelea Serengeti naomba msaada

    Habari za asubuhi? Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania. 1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani? Mikumi kuna ruksa hio unalipia...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

    Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili? Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya huyu binti anaetaka kusoma Diploma

    Amemaliza kidato cha 4. Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Alisoma arts ana ufaulu wa division 3. Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu. Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini. Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  14. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili swala

    Nasumbuliwa na mgongo ni takribani miaka mitatu sasa,hasa wakati wa usiku nimekuwa ni mtu ambaye sifurahii sana usingizi,mgongo una asili ya moto tu mda wote na kama sio kuhisi nimepakwa pili pili na kifua kwa mbali kinapataga moto,niliwahi Pimwa vidonda vya tumbo nikaambiwa majibu yako positive...
  15. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Magufuli kajenga vituo vya afya kila kata, hivi tunavyoambiwa vinajengwa sasa ni vipi?

    Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa. Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama? Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati Tafadhali wandugu kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

    Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe. Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wajuzi naomba mnitoe ushamba, hivi star wa movie za mapigano anapatikanaje?

    Zamani nilifikiri inatokana na uwezo wa kupigana wa mtu, hivyo niliamini Jack chan, Jet Li, Jack Bauer na wengine ni mafundi haswaa wa kupigana kuzidi wanaocheza nao. Lakini najiuliza ina maana ni kweli kwamba wale wengine wote hawajui kuwazidi? Nikiangalia picha nyingi za mapigano ni nakshi za...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

    Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri! Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…