naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

    Greetings wadau wangu, Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya Hali ya juu, comfortability ya Hali ya juuu barabarani, haitumiii umeme kabisa yaani old school...
  2. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Usahili: Tutorial Assistant, Kuna baadhi ya mambo kuhusu written interview ningependa kufahamishwa

    Habari za wakati huu my virtual family JF Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Niko njia panda

    Habari! Mimi ni mwajiriwa wa serikali ofisi X kwa kada ya ulinzi. Nina miaka 7 sasa tangu niajiriwe. Nimejenga nyumba ya kawaida sana. Na nina second hand car, namaanisha namiliki gari ya kuungaunga. Ninapenda sana magari. Nimechoka kulinda. Yaani nimechoka sana maana ni kazi ambayo hata mke...
  4. jamesandrew

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu kutembelea Serengeti naomba msaada

    Habari za asubuhi? Natumaini wote tumeamka salama na tuko katika mapambano yetu ya kila siku ya maisha. Samahani naomba kufahamu kuhusu utaratibu wa kutembelea Serengeti kama Mtanzania. 1. Je gari aina za Coaster inayobeba abiria 30 inaruhusuiwa kuingi mbungani? Mikumi kuna ruksa hio unalipia...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

    Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili? Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi...
  6. music mimi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ajili ya huyu binti anaetaka kusoma Diploma

    Amemaliza kidato cha 4. Akachaguliwa kozi ya ualimu ngazi ya cheti. Alisoma arts ana ufaulu wa division 3. Ameshindwa kuendelea na diploma ya education kwa sababu utaratibu hauruhusu. Anataka kusoma Diploma ya kitu kingine lakini hajui asomee nini. Hivyo anahitaji ushauri wa kusoma kozi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkipanga hiki Kikosi changu MINOCYCLINE Leo Taifa Stars anashinda 3-1 au 2-0 hivyo Kazi Kwenu mlioko Kampala Uganda.

    1. Aishi Manula 2. Kibwana Shomary 3. Mohammed Hussein 4. Dickson Job 5. Kennedy Juma 6. Jonas Mkude 7. Abubakary Salum 8. Feisal Salum 9. Anwar Jabir 10. John Boko 11. Farid Mussa Tafadhali wanaoanza wawe hawa niliowataja na baadae waingizwe akina Lyanga, Sopu, Mwamnyeto, Kibu na Tepsi...
  8. Njiwa wangu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuifunga simu kwa kutumia imei namba

    Naomba msaada wa kufungiwa simu imei namba ninazo ila tu nimesahau email nilioweka maana kuna mtu alichange email na password sina kama unaweza kufanya kazi hii 20000 ipo karibu pm
  9. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hili swala

    Nasumbuliwa na mgongo ni takribani miaka mitatu sasa,hasa wakati wa usiku nimekuwa ni mtu ambaye sifurahii sana usingizi,mgongo una asili ya moto tu mda wote na kama sio kuhisi nimepakwa pili pili na kifua kwa mbali kinapataga moto,niliwahi Pimwa vidonda vya tumbo nikaambiwa majibu yako positive...
  10. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Magufuli kajenga vituo vya afya kila kata, hivi tunavyoambiwa vinajengwa sasa ni vipi?

    Maana inashangaza, pale tulipoambiwa vituo vimejengwa kila kata na mwaziri na wabunge hawa hawa. Sasa tena mawaziri na wabunge hawa hawa wanasema vituo vya afya vinajengwa kila kata, ina maana vile vya awali vimebomoka ama? Hebu watuambie wanajenga nini (kama wanafanya ukarabati, wanaongeza...
  11. Nduna shujaa

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati

    Naomba msaada wenu; nina shida ya namba ya ofisi za NIDA zinazopokelewa kwa wakati Tafadhali wandugu kama kichwa cha habari kilivyoandikwa.
  12. nguvusimba

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

    Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe. Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wajuzi naomba mnitoe ushamba, hivi star wa movie za mapigano anapatikanaje?

    Zamani nilifikiri inatokana na uwezo wa kupigana wa mtu, hivyo niliamini Jack chan, Jet Li, Jack Bauer na wengine ni mafundi haswaa wa kupigana kuzidi wanaocheza nao. Lakini najiuliza ina maana ni kweli kwamba wale wengine wote hawajui kuwazidi? Nikiangalia picha nyingi za mapigano ni nakshi za...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  15. Mparee2

    JamiiForums Tanzania TARURA - Naomba ufafanuzi tozo za parking

    Naomba kuuliza mtu anatakiwa apaki gari kwa dakika ngapi mjini ndio aanze kuchajiwa/kumulikwa? Nilipaki gari ndani ya dakika moja kununua maji ya kunjwa nikachajiwa, naona kama haijakaa vizuri! Naamini Muheshimiwa Kinana akikumbana na hii hali, atatusaidia kuwajulisha wahusika watoe muongozo
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wanazuoni naomba kuuliza tofauti ya fake news na propaganda : case study of Russia ukraine war

    Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani. Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia PF Number

    Naomba kujua mashirika ya umma yanayo tumia (PF) number na taratibu za uhamisho kutoka shirika moja kwenda jingine.
  18. babu kavu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya vifuu

    Wadau habari zenu, Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia - Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani - Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache) - Kama Kuna ubora...
  19. PANTHERA LEO

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya sigara

    Habari wakuu, Naomba kuelekezwa sehemu wanazouza sigara kwa bei nafuu ya jumla ambayo na mimi nitakwenda kuuza jumla. Pia na bidhaa nyingne kama k vant, konyagi nk
  20. Thailand

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa hili wakuu

    Deleted
Back
Top Bottom