naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba 'link' ya filamu ya Vuta N'Kuvute | Tag of War

    Wakuu heshima kwenu. Natumai mpo salama kabisa, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada niweze ku-download hiyo movie ya kibongo inaitwa TAG OF WAR mwenye direct link naomba anisaidie tafadhali. Natanguliza shukran.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye kitabu cha Oedipus the King, soft copy anisaidie kunitumia

    Hope Mungu ni Mwema kila wakati Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy anitumie natanguliza Asante na Neema za Mungu ziwe Juu yenu watu wa Mungu.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Naenda Hungumalwa. Naomba kuelekezwa lodge yenye mabinti wazuri

    Wadau Leo nitalala Hungumalwa. Naomba maelekezo lodge au guest yenye pisi kali
  4. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zinakomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je, nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, Kwanini nchi za magharibi zimekomalia suala la kueneza ushoga ulimwenguni

    Je nini kipo nyuma ya pazia, lengo na dhamira yao ni nini? Deep intelligence yao ni ipi? Juu ya suala hili ovu kabisa kuliko chochote kile hapa ulimwenguni. Wajuzi na waona mbali karibuni tuchambue ni kipi kipo nyuma ya pazia kwa wamagharibi hawa, and there deep secret may be hided over this...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mtu kunidhamini nipate kazi GardaWorld Security

    H
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

    Kwema Wakuu, Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole. Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost. Nimepanga ninunue...
  9. JamiiForums Tanzania Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

    Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
  10. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye contact za RC wa Lindi naomba msaada

    Habarini za leo marafiki. Naombeni msaada Mwenye contact za RC wa Lindi nazitafuta sana bila mafanikio. Unaweza kuni PM tu kama unazo.
  12. JamiiForums Tanzania Naomba Pendekezo la kabila la pwani ambalo mwanamke anakaa kitako home na wasio wavigoma na shughuli

    Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao. 1. Mluguru 2. Mkwere 3.Msagara 4.Mzigua 5. Mzaramo 6.Msambaa 7.Mbondei 8. Mdigo 9. Mjikenda 10...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya VETA Kigoma

    Habarini ndugu, Yeyote mwenye mawasiliano na chuo cha ufundi stadi veta kigoma. Naomba anipatie nipo nje ya Muda asante.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Habari wadau wa jukwaa hili pendwa, Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke wangu kabla sijamuoa alikuwa amenunua kiwanja chake makao makuu ya wilaya na mimi pia nilikuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba wataalamu wa Nyimbo za zamani mnitajie list, nataka nimuekee nyimbo Mzee wangu kwenye Flash

    Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo . Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
  17. JamiiForums Tanzania Huu mlango wa Emergency wa ndege unaozungumzwa ndio upi wajuzi naomba mnijuze

    Kumekuwa na sinto fahamu mitandaoni kila mmoja akiongea lake ikiwemo manusura wa ajali ya ndege iliyotokea mkoani Kagera. Ni kweli ukisikikiza maoni ya watu kwa makini unaona kuna hoja hapa ya kujadili, je mlango wa Emergency wa ndege ni upi hapa, muokoaji alitumia dhana gani kuufungua? Au...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  20. JamiiForums Tanzania Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…