naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

    Kwema Wakuu, Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole. Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost. Nimepanga ninunue...
  2. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

    Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
  3. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwenye contact za RC wa Lindi naomba msaada

    Habarini za leo marafiki. Naombeni msaada Mwenye contact za RC wa Lindi nazitafuta sana bila mafanikio. Unaweza kuni PM tu kama unazo.
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Naomba Pendekezo la kabila la pwani ambalo mwanamke anakaa kitako home na wasio wavigoma na shughuli

    Kwenye mada straight wadau nataka kuchagua kuvuta jiko hitajika la kuishi nalo nataka mtoto wa pwani nshapata inbox kama 50 chuguo langu nataka chombo Cha pwani,kwenye sampuli kuna wafuatao. 1. Mluguru 2. Mkwere 3.Msagara 4.Mzigua 5. Mzaramo 6.Msambaa 7.Mbondei 8. Mdigo 9. Mjikenda 10...
  6. Master Stance

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano ya VETA Kigoma

    Habarini ndugu, Yeyote mwenye mawasiliano na chuo cha ufundi stadi veta kigoma. Naomba anipatie nipo nje ya Muda asante.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Habari wadau wa jukwaa hili pendwa, Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke wangu kabla sijamuoa alikuwa amenunua kiwanja chake makao makuu ya wilaya na mimi pia nilikuwa...
  8. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kujua ni vifaa gani vinahitajika katika kuanzisha huduma hii ya hosting Tanzania

    Wadau wa jukwa hili naombeni kujua ni vifaa gani muhimu vinahitajika kuanzisha sever kwa ajili ya hosting ? Ukitoa kuwa na Generator la automatic ambalo ni muhimu kuwepo na Internet ya nguvu either na solar power kwa kujilinda ikitokea tatizo lolote kwenye vyanzo vya umeme. Je ni vitu gani...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Naomba wataalamu wa Nyimbo za zamani mnitajie list, nataka nimuekee nyimbo Mzee wangu kwenye Flash

    Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo . Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huu mlango wa Emergency wa ndege unaozungumzwa ndio upi wajuzi naomba mnijuze

    Kumekuwa na sinto fahamu mitandaoni kila mmoja akiongea lake ikiwemo manusura wa ajali ya ndege iliyotokea mkoani Kagera. Ni kweli ukisikikiza maoni ya watu kwa makini unaona kuna hoja hapa ya kujadili, je mlango wa Emergency wa ndege ni upi hapa, muokoaji alitumia dhana gani kuufungua? Au...
  11. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar

    Naomba kujua frequency za BBC FM hapa Dar
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  14. Babuu100

    JamiiForums Tanzania Wenyeji Mbulu mkoani Manyara naomba mnijuze haya

    Wasalaam. Wakuu hivi karibuni natarajia kwenda Mbulu kikazi sasa ningependa kufahamu ni lodge gani nzuri zipo hapo town. Na vipi kuhusu nyumba za kupanga, zinapatikana? Alfred saigilomagema
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

    Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
  16. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kulipia YouTube videos promotion ads Kwa Mpesa

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu. Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  18. SAFAM classic

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi

  19. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutengeneza inequalities za hili swali, 🙏🙏🙏🙏

  20. John120

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu hizi gari

     Wataalamu na wajuvi wa magari,naomba mwenye kujua kuhusu hizi gari kwenye maeneo haya yafuatayo: 1.comfortability yake. 2.fuel consumption 3.Availability of spare part zake. 4.Durability 5.Stability yake. 6.Changamoto zake. na mengine mengi unayoyajua kuhusu chuma hii. Asanteni sana
Back
Top Bottom