Kunywa pombe kali kabla ya gemuWakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
Fanya mazoezi , kula vizuri, acha hofu.Wakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
Pole sana mkuuWakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
Ni tatizo la kisaikolojia, onana na mwanasaikolojia.Wakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
Mkuu kama uko tayari uje pm ila uvumilie maumivu dawa inamabala..kuna mzee mmoja alimtengeneza jamaa yangu alikua natatizo kama hilo sasa ivi jamaa yuko safi kabsa, ashasahau hayo mambo izo dawa ni uhakika kabsaWakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
We unakuwa na hofu tatizo lako ndio lipo hapo, kukusaidia, japo tatizo lako ni la kichwani unakuwa na hofu, kwa mwanamke mpya anza kunywa vile vidonge vinaitwa NJOI GM50 kimoja nusu saa kabla ya mechi, hili kwanza mashine isimame barabara umle, baada ya hapo kwa siku zingine hutokuwa na hofu tena na Wala usitumie tena dawaWakuu habari ya wakati huu.
Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana.
Msaada tafadhali
shukuru Mungu, anakuweka mbali na UTI suguWakuu habari ya wakati huu.