Cambodia!
Nahitaji mtu anifundishe (anitrain) uchawi
Kama ni hela nitamlipa baada ya zoezi. Bajeti yangu ni laki5.
Ninataka mtu anitrain kuamka usiku na kuacha mwili kitandani na kuanza kutembea katika ulimwengu wa roho, kuingia ndani ya nyumba watu wamelala na wasikuone, Kuwapa usingizi wa...
Pope Benedict XVI has passed away at age 95.
He held the apostolic see from 2005 to 2013, when he unexpectedly announced his decision to abdicate.
In recent years, he lived in a small monastery, Mater Ecclesiae, in the Vatican Gardens.
Nini ilikua Motive ya Huyu Papa kujiuzulu 2013 ...
Nataka nichezee nife hata. Na mchezaji mmoja, Sasa kizungu changamoto hapo sijaelewa Ili mkeka uende inatakiwa mchezaji achezeje huo mpira, apige short golini au mradi kapiga tu shot!? Msaada
Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe,
1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani?
2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano?
3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una faida gani kwa taifa? Kwanini usizimwe na kuhifadhiwa kwenye makumbusho ya Taifa?
Nilitembea na girlfriend wangu siku ya 14 akameza dawa baada ya masaa 24 means jioni ya siku iliyofuata baada ya kulala nae na baada ya kumeza dawa that night nililala nae tena nikijua ile dawa bado inafanya kazi ila ameshika mimba.
Sasa kwa upande wangu iyo mimba sio tatizo ila nawaza huenda...
Nawasalimu katika jina la jamhuri,
Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning...
Heshima kwenu!
Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri.
Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
Habari wadau
Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu,
Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip?
Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate,
Natanguliza shukrani zangu
Salamu wakuu.
Ninahitaji hii program niiweke kwenye PC yangu. Kwa yeyote aliyenayo kuanzia version ya 2016 mpaka 2021 naomba aje pm.
Nipo hapa dar es salaam na nitatoa angalau shukrani.
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.
Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...
Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel
Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya
Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
Kitabu Cha
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila...
NDUGU ZANGU naomba nipate uelewa kidogo juu ya jambo langu hili
Nipo chuo mwaka wa pili nasomea Tax managment ila nimepata mdhamini yeye ni Daktari huko USA, kanipa udhamini wa kunisomesha ili nikimaliza diploma niende nje.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Chuo huku nikianza...
Hizi sarafu mbili zinafanana mno, kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa mtu kuzitofautisha haraka haraka hasa katika mazingira yenye giza. Mfano jana usiku nisingekuwa makini ilikuwa nishikishwe sarafu 6 za shillingi 10 nikidhani ni elfu 3.
Serikali fanyeni kitu kuzitofautisha hizi sarafu kimuonekano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.