Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
1. Aishi Manula ( kama Kapona )

2. Shomary Kapombe ( kama Kapona )

3. Mohammed Hussein

4. Joash Onyango

5. Henock Inonga ( kama Kapona )

6. Sadio Kanoute

7. Kibu Denis

8. Muzamiru Yassin

9. Jean Baleke

10. Clatous Chama

11. Saido Ntibanzokinza

Baadae napendekeza Waingie wafuatao....

1. Kennedy Juma

2. Pape Ousmane Sakho

3. Jonas Mkude

4. Moses Phiri

5. Israel Mwenda

6. John Boko

7. Habib Kyombo

Tafadhali ewe mwana Simba SC Mwenzangu hiki ni Kikosi pendekezwa tu Mimi GENTAMYCINE hivyo nawe pia kuwa Huru Kukikosoa kama kuna Mapungufu ya Kiufundi unayaona na Wewe pia ukiwa na chako kiweke ili wana Simba SC wote hapa JamiiForums tukikijadili.

Tuna leo Jumatano hii mpaka Jumamosi hivyo tuje na Vikosi vyetu ili mpaka mwishoni tuje na it no in no Kimoja ndiyo kianze Jumapili katika Derby yeru na Wao.

Karibuni wana Simba SC wote wa hapa JamiiForums na wana Yanga SC hapa JamiiForums tulieni kwani Ngoma hii haiwahusu kabisaaaaa
 
Napendekeza kikosi kilichomtafuna mtu wiki.
 
Hehehe, 16 mbali sana jaman. Siku hazisogei kabisa yan.

Yaan kolo ndo anawaza kumfunga Yanga Afrika? Inshallah tutwapiga nyie simba wizard kama ngoma.
 
Nadhani mechi muhimu ni dhidi ya waydad,hii derby ni mechi nyepesi sana,kwanza matokeo yako wazi ni sare ya 0-0
 
1. Aishi Manula ( kama Kapona )

2. Shomary Kapombe ( kama Kapona )

3. Mohammed Hussein

4. Joash Onyango

5. Henock Inonga ( kama Kapona )

6. Sadio Kanoute

7. Kibu Denis

8. Muzamiru Yassin

9. Jean Baleke

10. Clatous Chama

11. Saido Ntibanzokinza

Baadae napendekeza Waingie wafuatao....

1. Kennedy Juma

2. Pape Ousmane Sakho

3. Jonas Mkude

4. Moses Phiri

5. Israel Mwenda

6. John Boko

7. Habib Kyombo

Tafadhali ewe mwana Simba SC Mwenzangu hiki ni Kikosi pendekezwa tu Mimi GENTAMYCINE hivyo nawe pia kuwa Huru Kukikosoa kama kuna Mapungufu ya Kiufundi unayaona na Wewe pia ukiwa na chako kiweke ili wana Simba SC wote hapa JamiiForums tukikijadili.

Tuna leo Jumatano hii mpaka Jumamosi hivyo tuje na Vikosi vyetu ili mpaka mwishoni tuje na it no in no Kimoja ndiyo kianze Jumapili katika Derby yeru na Wao.

Karibuni wana Simba SC wote wa hapa JamiiForums na wana Yanga SC hapa JamiiForums tulieni kwani Ngoma hii haiwahusu kabisaaaaa
Subs mwisho 5 tano,
Kikosi umepanga vizuri sana ila hapo kwenye nafasi ya Saidoo Ntabi mimi nitaanza na Sakho.. timu inahitaji energy na kasi zaidi eneo la mwisho la uwanja...
 
Maoni yangu
1.manula
2.kapombe
3.Husein
4.Onyango
5.Inonga
6.kanute
7.kibu
8.mzamiru
9.Baleke
10.Saido
11.Chama

Sub...
Kakolanya
Kwenda
Phiri
Banda
Nyoni
Bocco
Kyombo
Kapama
Sawadogo
 
1. Aishi Manula ( kama Kapona )

2. Shomary Kapombe ( kama Kapona )

3. Mohammed Hussein

4. Joash Onyango

5. Henock Inonga ( kama Kapona )

6. Sadio Kanoute

7. Kibu Denis

8. Muzamiru Yassin

9. Jean Baleke

10. Clatous Chama

11. Saido Ntibanzokinza

Baadae napendekeza Waingie wafuatao....

1. Kennedy Juma

2. Pape Ousmane Sakho

3. Jonas Mkude

4. Moses Phiri

5. Israel Mwenda

6. John Boko

7. Habib Kyombo

Tafadhali ewe mwana Simba SC Mwenzangu hiki ni Kikosi pendekezwa tu Mimi GENTAMYCINE hivyo nawe pia kuwa Huru Kukikosoa kama kuna Mapungufu ya Kiufundi unayaona na Wewe pia ukiwa na chako kiweke ili wana Simba SC wote hapa JamiiForums tukikijadili.

Tuna leo Jumatano hii mpaka Jumamosi hivyo tuje na Vikosi vyetu ili mpaka mwishoni tuje na it no in no Kimoja ndiyo kianze Jumapili katika Derby yeru na Wao.

Karibuni wana Simba SC wote wa hapa JamiiForums na wana Yanga SC hapa JamiiForums tulieni kwani Ngoma hii haiwahusu kabisaaaaa
Genta hii game angeanzishwa Phiri kama kapona.
 
Back
Top Bottom