Dcxkobe
Member
- Mar 5, 2023
- 57
- 137
Hv siti za gari. Huwa wanahesabuje kuipata namba ulipoewa Mimi sio mzoefu sana wa safar kwa mfano tiketi yangu n siti 5 jinsi kuihesabu nakubuka nliwahi pewa siti nlipofika Mimi nkatafuta tu palipo andikwa Kama n 7 naitafuta Sana tu ilipo nakaa lakn nliambiwa sio hapo ndio nimeomba leo nipewe SoMo.