Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

chidy said

Member
Oct 20, 2019
62
119
Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
A910B48F-B99E-4810-A1C8-2C86A18162CE.jpeg
A1B4AB8A-0F6D-41D2-9986-F8CFC46486DB.jpeg
8D840F6D-9565-466D-84B0-1F0FFE621CC6.jpeg
 
Hesabu za finishing ni baada ya kukamilisha boma,
Hapo ni kama unazunguka tuu,
Finishing inategemeana na hali ya boma lilivyo,
Limejengwa vipi?
Kuta zimenyooshwa vipi?
Mfumo wa umeme umewekwa vipi?
Sakafu imenyooshwa vipi?
Njia zipi ulitumia kufanya ujenzi?
Fundi wa boma anautaalam mkubwa kiasi gani?
Hapo utapewa hesabu lakini 100% haziwezi kukusaidia lolote lile wakati wa finishing
Mwisho wa yote hesabu ya ujenzi ni site na sio kwenye makaratasi na mitandaoni,
 
Back
Top Bottom