Naomba kujua ushuru wa kuingiza smartphones kutoka nje

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu.

Kuna mtu wangu yupo nje ya nchi anataka kunitumia smartphones tano (5) brand new. Utaratibu wa ushuru ukoje pindi zikifika nchini? Nadhani kuna wakati serikali iliondoa import duty ila ikarudisha tena. Naomba kuwasilisha.
 
Ushuru Wana calculate bei ya bidhaa kwa kiwango cha ushuru ulipo kiserikali kupitia watu wa Custom
 
Simu mpya inaangukia kwenye group la electronics
Kuna kodi ya import duty 25% , railway development @1.5% halafu kuna kodi nyingine tena @.5% ukimaliza hapo ndo unakuja dude la vat @18%.
Nililipa kodi 115700 kwa earphone nilizo unua dola 91 ebay
 
Natumiwa kama zawadi

taabu sana!
 
taabu sana!
Haya maswala huwa yakienda bungeni kujadiliwa kama miswada wabunge huwa wanapitisha tu bila kujua impact zake . Matokeo yake ni makofi amabayo hayalipiki na ni mzigo! Imagine 7nanunua simu halafu unalazimiika kulipa na maendeleo ya reli!!
 
Back
Top Bottom