naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba ukaribisho

    Hello habarini mimi ni mgeni kwenye hii forum japo nilikua nikiiona siku nyingi hivyo basi nimeamua kuji register Rasmi ili niwe na uwezo wa ku reply kwenye mada zenu naombeni mnipokee kwa ukarimu
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mosaic Tiles naomba msaada wenu.

    Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles. Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika kwa kutumia cement.? Fundi wangu kasema ninunue cement na dukani nilikonunua hizo ndude wanasema...
  3. JamiiForums Tanzania JamiiForums naomba ile mada: Wanafurahia utekaji kuna siku watashindwa kuzibiti

    Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana. Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi. Tusipo likemea na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mazishi yangu yawe Jf

    Endapo nitafariki na halafu bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia JF. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu. Kuanzia kuswaliwa, watu watapokusanyika mpaka hatma yake.
  5. JamiiForums Tanzania Naomba nieleweshwe kwa kwa upole

    Natumai huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu huku mkinzigatia nature na life la kiturist. Moja kwa moja kwenye mada, Inawezekanaje Leseni ya Udereva ya Tanzania inayotambulika na SADC kutumika Nchi za East Africa na Nchi za pembeni haitambuliki Zanzibar? Au sijaelewa vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Leo naomba niongee na wewe brother unaetaka kuoa. Ongea na wakubwa

    Kwanza naomba kwa nitakae mchukiza kwa hiki ninachoenda kukiandika hapa tusameheane ila nitasema ukweli na ukweli tupu sitosema uongo. Niende moja kwa moja, kwanza brother huyo binti au mwanamke kabla hujamuoa hakikisha unamjua vizuri nje ndani. Sio unamjua juu juu tu kisha unapapatika kutaka...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kama Kuna mbinu za kukwepa kifo Cha mapema

    Sijachanganyikiwa lakini nimefikiria TU maana sielewi kuishi ni bahati au Kuna Nini. Mbona Toka kuzaliwa kwangu nimezika na kusikia misiba mingi. Je? Kuishi ni bahati TU. Maana kama mabasi nimepanda Sana pikipiki boti kutembea Kwa miguu barabarani kuogelea nk. Kwanini Bado naishi?
  8. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa rangi za nyumba naomba msaada wenu kabla hapajakucha🙏

    Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni miongoni mwa rangi bora? Kama sio,naomba mapendekezo ya rangi bora za kupaka nje. Nyumba ilishapakwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hello naomba msaada

    Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate . Maana hapatikani kwenye simu. Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi Halmashauri ya Wilaya ya Siha, ajira ya Julai 2021 bado tunadai mshahara wa kwanza

    Baadhi ya watumishi walioajiriwa wilaya ya Siha mwaka 2021, hatukulipwa mshahara wa kwanza wa July 2021. Imepita miaka minne sasa unaenda mwaka wa tano. Tumeshaandika sana barua na kujaza fomu za kulipwa mshahara huo lakini hakuna majibu yoyote ya kuridhisha.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa maswali haya maana pengine suluhisho la mgogoro wa Marekani, Israel na Irani ndo uko hapa

    GUYS NAOMBENI UFAFANUZI WA MASWALI HAYA MAANA PENGINE SULUHISHO LA MGOGORO WA MAREKANI, ISRAEL NA IRANI NDO UKO HAPA. 1.Kwa muda sasa tumekuwa tukishudia uchokozi wa USA katika mataifa mbalimbali.Je Marekani ni nani hapa duniani? 2.Nchi zingine zote zilizopo hapa duniani zikiungana zinashindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa inakuaje kwenye selection za form five kuna baadhi ya wanafunzi wamepangiwa Combination ya PMCs na hawajasoma Computer kabisa

    Jamani naomba nipate maelezo ya kina imekuwaje baadhi ya wanafunzi wamepangiwa somo la computer kwenye combination ya advance kwenye michepuo wa PMCs ilhali o level hawakuwahi kusoma Computer ufafanuzi tafadhali
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania NAOMBA TOFAUTI KATI YA UTAWALA WA CCM NA UTAWALA WA MKOLONI MWEUPE

    Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo; 1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia? 2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza? Binafsi maswali haya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu zaidi kuhusu kufungiwa akaunti za nje za viongozi

    Kwamba kabla hawajafungiwa akaunti zao za nje je,hawawezi kuzichepusha ili zisifungiwe hususani kipindi hiki wakati mchakato wa utekelezaji wake unasubiriwa?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua Chuo cha Mitambo (Skaveta, Greda na Rola)

    Ndugu zangu naomba kujua vyuo tajwa hapo juu vinapatikana wapi ? Elimu yangu ni form 4 . Nilipata dv 3 natamani kusoma mitambo hio .kuopperate. Naomba muongozo
  17. JamiiForums Tanzania Maisha bila watoto wala ndoa

    Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa). Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
  18. JamiiForums Tanzania Naomba chimbo la kuangalia Arsenal tarehe 30

    Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
  19. JamiiForums Tanzania Japo kisheria hairuhusiwi ila naomba niulize, Kwanini sasa hivi hakuna video za ngono za kawaida za wabongo?

    Nilipita twitter nikakuta mtu ame tweet kwa ku list account zinazotuma mauthui ya ngono, nikasema ngoja niangalie kidogo. Sasa cha ajabu, account zaidi ya nne, video ni nyingi sana na ni za watanzania ila zote, wanacheza mapenzi kinyume na maumbile, yani zote. na sio kua ni madangulo, wengine...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba recommendation ya model nzuri ya laptop ya mtumba ndani ya 800K–1M

    Wakuu, naomba msaada wa ushauri na connection za laptop nzuri yenye specs za kufanya kazi nzito kidogo kama programming, video editing, gaming, 3D rendering na data analysis. Napendelea zaidi brand za Dell au HP, zikikosekana naweza pia kuangalia Lenovo. Sina sababu ya kitaalamu sana kuchagua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…