Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 494
- 1,046
Natumai huu uzi utawakuta mkiwa katika hali ya utulivu huku mkinzigatia nature na life la kiturist.
Moja kwa moja kwenye mada, Inawezekanaje Leseni ya Udereva ya Tanzania inayotambulika na SADC kutumika Nchi za East Africa na Nchi za pembeni haitambuliki Zanzibar? Au sijaelewa vizuri mnieleweshe kwa anaejua ?
Hii imekaaje