Bundi ameshaanza kuzengea zengea juu ya paa?Endapo nitafariki na hf bado ikiwepo naomba mazishi yangu yawe live kupitia jf. Zile sehemu ambazo tu kisheria na kimila, na utamaduni wa kiislam unaruhusu
Kuanzia kuswaliwa, watu watapokusanyika mpaka hatma yake.
Siku Allah atapotakaNi sawa,kwahiyo unatarajia kufa lini Mkuu.?
NooBundi ameshaanza kuzengea nmzengea juu ya paa?
Pengine utatangulia weyeNi sawa,kwahiyo unatarajia kufa lini Mkuu.?
Mashallah.Siku Allah atapotaka
No one knowsPengine utatangulia weyeN
Inamaana jf haithamini member wake?Uache kabisa na gharama za mazishi yako kuonyeshwa live.
Aaaamin yarabil l aamin. Kwa soteAllah akupe mwisho mwema 🙏
Inathamini, vigezo na masharti huzingatiwa kama Kuna watu unafahamiana nao humu ukifa wanapeleka taarifa kwa moderators then Id yako inabadilika kuwa RIPInamaana jf haithamini member wake?
Kuonesha live mazishi yanguInathamini, vigezo na masharti huzingatiwa kama Kuna watu unafahamiana nao humu ukifa wanapeleka taarifa kwa moderators then Id yako inabadilika kuwa RIP