Hello naomba msaada

Hello naomba msaada

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,966
Reaction score
9,378
Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate .

Maana hapatikani kwenye simu.
Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada tafadhali.

Asante.
 
Duh kinda trick!
Screenshot_20240428-182303~2.jpg
 
Na mtu ambaye yupo Dodoma jana katutext eti ameshikwa na polisi tumlipie dhamana tokea hapo hatuna taarifa yeyote naomba msaada kama kuna mtu ambaye anaweza kutusaidia tumpate .

Maana hapatikani kwenye simu.
Tunaomba msaada maana hii ni serious . Mimi napendaga matani ila naombeni msaada tafadhali.

Asante.
Msimtafute yupo kwenye mikono salama kuliko hata angekuwa nyumbani kwake.
 
Sijakuelewa,lakini umenikumbusha kuna dada akiwa hukohuko Dodoma alikamatwa na polisi wakampa kesi ya uraia ila polisi Mungu anawaona🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom