naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Mtaturu

    Naomba kujua 100,000/- ya Burundi sawa na Shilingi ngapi za Tanzania?

    Kwema wakuu? Naomba kujua laki moja (100,000/-) ya Burundi sawa na shilingi ngapi za Tanzania?
  2. K

    PreGE2025 KUMBUKIZI: Kiongozi wa CCM aliwahi kusema ushindi CCM hauna Mungu akipenda, ni lazima!

    NB: Video hii ni kumbukizi wakati wa Kampeni za Uchaguzi mwaka 2020 Huyu kiongozi ana mkashifu Mwenyezi Mungu, oky sikiliza mpaka mwisho.👇 "…sikiliza ana mpango gani na tawi lake halafu tutaendelea kuzungumza si ndio? Si tumekuja tuzungumze pamoja, siyo kutoa maagizo sasa hivi, nataka tujue...
  3. B

    Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti

    Habari GTs, Naomba kujuzwa gharama na utaratibu wa kutembelea hifadhi ya mbuga ya Serengeti, kwa raia wa Tanzania wenye umri pungufu na zaidi ya miaka 18. Vile vile gharama za malazi kwa usiku mmoja for economy class, safari yangu itaanzia Mwanza. Naomba kuwasilisha.
  4. D

    Mama mkwe kanionyesha jipu lake lililomuota kwenye paja; naomba msaada wa mawazo!

    Nimepigwa na bumbuwazi wadau! Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
  5. A teller

    Naomba kujua kuhusu TAMISEMI agencies

    Habari zenu wakuu Naomba kufahamishwa kuhusu agencies zilizo chini ya TAMISEMI ukiachana na Halmashauri, Manispaa na Majiji Je , TAMISEMI zina agencies zake zingine ambazo zinasimamia?? Uzi tayari
  6. Ritchy Breezy

    Naomba mkeka ajira za ualimu 24/25

    Mwenye mkeka wa walimu waliopata ajira 2024/2025 naomba pls Nasikia yameshatoka ila najaribu kusakua kila website sioni. Natanguliza shukrani🙏
  7. TEAM 666

    Naomba bajeti ya hii land cruiser Hadi nyumbani

    Kama kichwa cha habari hapo juu
  8. LIKUD

    Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( 😂😂😂 utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  9. E

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya dagaa

    Naomba ushauri wenu waungwana je hii biashara ya dagaa ina lipa vizuri pia vipi kuhusu changamoto na hasara zake?
  10. Ofisho mlinzi

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambazo mkataba wake sio wa kudumu

    Wadau naomba kujuzwa juu ya mikopo ya kibank kwa wenye ajira ambao mikataba yao haizidi mwaka m1
  11. L

    Nisijifanye najua naomba kuziza, Kizimkazi ni nini??

    Wakuu kila nikiangalia runinga naskia kizimkazi kumenoga ni nini hicho ?
  12. Mpwayungu Village

    Naomba kujua kuhusu utajiri wa Rothschild, ni zaidi ya Elon jumlisha Bezos

    Kuna member jana nilikuwa naongea nae, ni mzuri kwa kuelezea vitu vilivyopo kwenye dark web.. Yeye alisema hao Akina Elon musk na Jeff Bezos sijui Akina billgate hawana pesa mbele ya Rothschild family Niliingia Google as fast as possible nikaja kuona ni kweli, Forbes inaweka wazi kuwa...
  13. U

    Naomba kujua Kipenyo Cha Simtank 10000 litres na 8000 litres

    Hii nchi imejaa vilaza sana, Leo nimezunguka maduka zaidi ya matano , nahitaji simtank , lakini kabla sijanunua niliwauliza je naweza kupata specifications za matank mliyonayo haswa katika upande wa vipimo. Wakaniambia wao hawajua na hawana specification, hivyo tuchukue futi tupime, hatukuweza...
  14. Wakili

    Naomba kujua kwa wenye leseni za udereva

    Habari waungwana, Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D, Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT...
  15. G

    Naomba kujua mgogoro wa Ngorongoro maana mbuga ni muhimu haiwezi kuhamishwa Ila ndugu zetu nao muhimu pia

    Mpaka Sasa naona wengi wengi wanachangia kimehemko kihisia na kisiasa zaidi Ngorongoro ni moja ya hifadhi muhimu kwa nchi yetu na mchango wake ni faida ya Taifa Zima . Mapato yanayotoka ngorongoro na Kodi zake yanaenda kulipa mishahara ya mwalimu Dr anayefanya kazi Arusha mjini Dodoma Mtwara...
  16. Mtuache

    Naomba sifa za Wanaume wenye muonekano kama huu

    Kichwa Cha Habari kinajieleza. Tiririka, povu sitaki
  17. blackstarline

    Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  18. E

    Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
  19. Prof_rutta22

    Naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini

    Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
  20. Gulio Tanzania

    Naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na members wa jukwaa hili

    Kila siku tumekuwa tunajadili App zenye majina makubwa makubwa Leo nimekuja naomba list ya App ambazo zinamilikiwa na member wa jukwaa hili pengine zitatufaa zaidi kwa mahitaji yetu kuliko hizi ambazo zimekuwa popular Nawakaribisha
Back
Top Bottom