Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34.
Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia.
Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
Naomba NIONGEE hili jambo moja kwa moja hata kama sijatoa salamu..
Eeeenyiiii wazazi wa kike Kuna baadhi yenu mnapenda sana kuondoka/kutoka majumbani kwenu huku umebeba mtoto mgongoni au kumshika mkono ukiamini kwamba hata mzee akirudi nyumbani akiambiwa mama flani katoka na mtoto kunakuwa...
Heri ya Maulid waislam wote na nadhani mmekula chakula kitamu nakuenjoy
Eti mtu aliyezaliwa 1989 mpaka 1995 na hawajaolewa mnawaitaje?
Maana nimekuta hii video
https://vm.tiktok.com/ZMh8XnhSP/
Niambie
Nimepita vijiwe kadhaa hapa nimechunguza kisha nikaona pikipiki nyingi ni boxer ikabidi niulize wadau hapa majibu yao ni kua TVS humpakii mtu haya maeneo TVS nenda mbeya au dsm. Lakini hakunitajia sababu kwa nini wateja wanapenda BOXER.
Mimi Nina umri Miaka 38 sasa Nina mahusiano na mwanamke tangu mwaka 2014 na tumezaa watoto 4 kati ya hao 1 Mungu amemchukua na sasa Hivi tuna ambaye mwezi wa 10 atatimiza mwaka na wawili wapo shule darasa la 3 na 2.
Sijawahi kufika kwao tangu 2014 mpaka mwaka 2022 pale aliponiibia vitu vya...
Samahani wakuu,
Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka?
Asante
Nawasilisha
MOROGORO - Moto mkubwa unavyoteketeza safu ya milima ya Uluguru kwa zaidi ya wiki moja sasa , milima hiyo ina umuhimu wa kipekee kwa kuwa ni vyanzo upatikanaji wa maji yanayotegemewa na wananchi wa Manispaa ya Morogoro na mikoa jirani.
Chanzo: habarileo_tz
Mdogo wangu wa damu kabisa steveachi...
Hahaa nimejitutumua utazan bei najua ya kufungiwa mita private hapa ofisin. Wakuu nipeni Raman hapa salon hichi kifaa mita kufungiwa hapa ofisi bei gani? Pesa hazinifikii kwa wakati huku dogo akivimba tu mashavu. Dah.
Napenda sana kujifunza Mapishi mbalimbali na kutengeneza nyumbani.
Lakini linapokuja Suala la “Icecream” za Maziwa kuna kitu Bado sijaelewa vizuri.
Wajuzi wa kutengeneza naomba msaada.
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za...
Azam kuna mgomo baridi wa wachezaji, mbona magoli hawafungi? Wamebakia kuchana mikeka ya watu tu. Mtujuze kama wana mgomo tuachane nao. Na huyo wa kula wali na sukari ndo kwanza tu anazurula uanjani.
Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji.
Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa
Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
Jana nilitoa wito wa kuzitumia siku tatu za ibada za wiki(Ijumaa, Jumamosi na Jumapili) kwa ajili ya kukemea matendo maovu yanayofanywa Nchini na hasa mauaji ya watu. Kipindi kile cha mahubiri/hutba kitumike kufanya kazi hiyo.
Kesho ni siku ya Ijumaa ambapo wenzetu waislamu ndo siku ya Ibada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.