naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Kwa ridhaa yenu wanaJF naomba timuongeze huyu kijana katika wale watu wawili

    Nimemfuatilia sana na kujiridhisha huyu ni Uto anaejielewa
  2. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  3. Kermion

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu Mifano Ya Nyimbo Zinazoweza Semwa Zina Asili Ya Bongo-Flava

    -
  4. moneymakerman

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri mtoto awe "anapata ufaulu mzuri" Je, nifanyaje?

    Naomba kujua kutoka kwa wazazi wenzangu ambao watoto wenu wanapata matokeo bora, siri ama mbinu gani mnatumia hapo nyumbani mtoto afaulu? Nawasilisha
  5. R

    JamiiForums Tanzania MKE: Naomba uninunulie gari, usiponinunulia siku nikija na gari naomba usiniulize nimepata wapi?

    Habari wanajimii forum. Hii ishu aliipata rafiki yangu mmoja hivi ni ishu ya kweli kabisa. Jamaa anandoka ya miaka zaidi ya 9 na wamefanikiwa kuwa na watoto. Kusema ukweli mke wake ni mrembo haswa Tena haswa kweli kweli. Anafanya kazi kwenye shirika Moja hapa DSM. Mume wake anagari ambalo...
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

    Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari yako, mashamba na mali zako zote wewe mwanaume mwenzangu huwa unazificha wapi? Nataka mke wangu huyo...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Majina marefu ya Kiafrika, naomba uongeze ulijualo

    Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya: Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na Andrianampoinimerinatompokoindrindra toka Madagascar. Waweza kuongeza ujualo tafadhali ili tuanze safari ya...
  8. Mike Moe

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa lodge za bei nafuu dodoma

    Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu tusiangaike tutakapo wasili jijini hapo
  9. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au connection za kazi zote professional

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale. Naomba kama kuna mwenye kazi au connection za kazi zote professional nimesoma kozi ya accounting with IT na ambazo si professional nafanya kwa moyo mmoja aniconnect nofanye kazi au kama ni kwakujitolea walau kwa malipo ya kujikimu. Nipo dar es salaam...
  10. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua huyu Afande ambaye mara nyingi huwa anaongoza itifaki kwenye misiba ya kitaifa na misiba ya wanajeshi wa Vyeo vya Juu

    Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein. Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo. Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia. Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa...
  11. akatiwanya

    JamiiForums Tanzania KERO Tigopesa wamelipia huduma kutoka kwenye akaunti yangu bila idhini yangu

    Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii, 👇👇 Dear Customer, you have Successfully done Payment for Google play store. Nilivyoona hiyo text nikaenda kwenye account yangu ya tigo nikakuta kweupe...
  12. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji Magari au una tenda kwa ajili ya kubeba mizigo naomba tuwasiliane .

    Habari ya uzima. Kwa MTU yeyote au Kampuni inayohitaji huduma ya usafirishaji mizigo , Local cargo au transit cargo , naomba tuwasiliane . Tunayo Magari Aina ya flatbed pamoja Tipper Haya magari yote maximum yana uwezo wa kubeba 30-32Tons. Waweza kutupigia kwa +25565812488 call and WhatsApp...
  14. morechil

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kozi hizi za Veta

    Naomba ushauri vip kuhusu hizi course veta ipi soko lake liko vizuri 1. Electrical installation 2. Auto Electrical 3. Motor vehicle mechanic
  15. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi au connection na kazi

    Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila imetokea changamoto kwa sasa kwenye kazi yangu ya kusupply gas za kupikia, kama kuna mtu...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya kuishi sehemu unayoipenda lakini hapana pesa na sehemu usiyoipenda lakini Pana pesa?

    Eti je ni sawa kuishi sehemu unayoipenda, na unaAmani kabisa moyoni kama utaishi sehemu hiyo, lakini kiuchumi ni pabovu Sana , na ukisema unatafuta maisha kutoboa ni kazi ngumu? Kuliko kuishi sehemu usiyo ipenda na huna Amani napo lakini kiuchumi pako vizuri na ukikomaa unatoboa?
  18. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba ushauri kuhusu magari haya kabla sijafanya maamuzi makini

    Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi, Honda crossroad, Toyota Voltz Mitsubish outlander au Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi. Ushauri in terms of fuel consumption, durability na urahisi wa kuliuza tena huko mbeleni.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye riwaya soft copy za kiswahili naomba

    Habari ndugu zangu, nilikua nahitajii mwenye RIWAYA zozote zile Za kiswahili naomba anisaidie, natanguliza shukrani 🙏
  20. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kisheria hii imekaaje?

    Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake. Walikuwa...
Back
Top Bottom