naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa, mchagueni Mama Samia kuwa mwenyekiti wa CCM na Ashraf Sadru Kiobya kuwa mjumbe wa NEC

    Ndugu Ashraf Sadru Kiobya Ndugu wajumbe wa mkutano mkuu CCM Taifa. Poleni kwa Safari na Majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa na chama Naomba kuchukua nafasi hii kuwaombeni kwa unyenyekevu mkubwa mumchague Mama yetu, Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti wa CCM. Mama Samia ni...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi kuhusu tatizo hili la e-mail naomba msaada!!!

    Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti Kati ya Ujasusi na Ugaidi

    Wasalaam, Naomba kujua tofauti Kati Ugaidi na Uajsusi,hasa kwenye vitendo. Kwa mfano watu wa nchi moja wakie da nchi nyingine na kumuua mtu Fulani wa nchi nyingine,nchini kwake ama akiwa nchi nyingine ambaee kimsingi hao wauaji wamemuona kua mtu huyo kweli Ni hatari kwa maslahi au Usalama wa...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba habari kuhusu hii Mbeya kwanza. Iliyopanda ligi kuu.

    Imamilikiwa na nanni? Kocha wake nani
  5. JamiiForums Tanzania Nimeng’oa jino siku nne zilizopita lakini bado halijapona

    Nimengoa jino,leo ni siku ya nne ,lakini bado sioni dalili ya kupona na dawa zimeisha
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

    Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli. Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba hifadhi Dodoma

    Habari wapendwa!! Natumaini mko salama kabisa, Ndugu zangu mimi nimeitwa Dodoma kwa ajili ya usaili/interview lakini sasa changamoto ni Makazi maana kifedha niko vibaya sana nauli yenyewe Naunga unga tu, ili nifike nijaribu Bahati Yangu, hivyo naomba mwenye msaada wa kunihifadhi ili nikifika...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie

    Habari za leo ndugu zangu, Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu. Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions)...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Mwanza naomba Mwenyekiti wa Waendesha Daladala Jijini Mwanza awekwe ndani mara moja

    Jana nimemsikia Mwenyekiti wa Waendesha Daladala jijini Mwanza anaitishia serikali kwamba wasipowaondoa Waendesha Bajaji eneo la Buzuruga ataitisha mgomo mara moja! Ni ajabu sana huyu mtu kubaki uraiani mpaka sasa, anaitishia serikali yeye kama nani? Kuna watu wameanza kuleta dharau za...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa: Wapinzani wanapambana na Hayati Magufuli au Rais Samia?

    Kila nikitazama mijadala kwenye mitandao ni kama wapinzani bado wapo kwenye mapambano na hayati Magufuli. Rais na mwenyekiti wa sasa wa CCM mama Samia ni kama hawana tatizo naye, anawakosha sana na wanamtumia kuwaumiza wafuasi wa Magufuli. Kwa wataalam wa siasa hii ina maana gani kwa siasa za...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu oil ya gear box ya Toyota Sienta na bei yake

    Naomba kujua bei ya oil ya gear box ya Toyota sienta, Pia nikiwasha gari nyakati za asubuhi au injin inapokuwa imepoa huwa inatoa muungurumo wa juu kana kwamba nimekanyaga mafuta... Kisha baada ya dk 1 inatulia. Msaada tafadhali
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kwanini Special Economic Zones (SEZ) hazijengwi nyingine mikoani?

    Kwa Tanzania, Export processing zones authority(EPZA) ndiyo husimamia na kuendesha hizi (SEZ) special economic zones. Haya ni maeneo ambayo bidhaa huzalishwa kwaajili ya kuuza nje ya nchi. Mara nyingi huwa kunakuwa na punguzo kubwa la tozo. Mtu anaaigiza mashine na malighafi za viwandani bila...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa mwenye kulijua hili swali la kitakwimu.

    Wadau naombeni msaada mwenye kujua au idea yeyote juu ya hili swali la kitakwimu mawazo yenu tafadhali. "Identify and Explain two aspects that official statistics addresses."
  14. N

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu railway levy

    Salaam wana JF, Kama heading inavyojieleza kuna kiasi cha pesa kinachokatwa kwenye kila gari inayoingizwa nchini kupitia bandarini, labda na kwingineko kinaitwa railway levy. Mimi kwa uelewa wangu nadhani hii pesa ni kwa ajili ya maendeleo ya reli hasa ujenzi na ukarabati. Katika ufahamu wangu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

    Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum. Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi yetu Tanzania ili iweze kusonga mbele ni lazima kuwepo na mawazo mbadala au upinzani. Sasa naomba...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza huu utaratibu kuhusu kupata kazi ya vibarua serikalini?

    Wadau kwema, Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza yani ipo hivi naskia mara kuna kiwanja cha ndege kinataka kujengwa kuanzia Mwezi huu tarehe 30 ndo wanaanza hizo process, ila sijajua vibarua utaribu huwa unakuwaje? Ili kupewa kazi kwenye hizo tenda za ujenzi wa kiwanja cha ndege. Nawaomba...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye Uzoefu na Liquid Wallpaper naomba ufafanuzi

    Wakuu Habari za muda huu? Bila kupoteza muda, niende moja kwa moja. Nilitaka kuweka glue wallpaper hizi kwenye kuta za nyumba yangu sebuleni na chumbani, lakini nikakutana na ushauri wa hii kitu inaitwa Liquid wallpaper, kwakuwa sikuwa naifahamu nikaisearch nikakuta kweli picha zipo, na kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara za uwakala wa M-PESA, AIRTEL MONEY na TIGO PESA

    Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia nifanye biashara ya M PESA ,,AIRTEL MONEY na TIGO PESA lakini sina uzoefu na hii biashara ..Naomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…