Naomba kufahamu oil ya gear box ya Toyota Sienta na bei yake

Gigymomo

Member
Oct 28, 2020
10
16
Naomba kujua bei ya oil ya gear box ya Toyota sienta,

Pia nikiwasha gari nyakati za asubuhi au injin inapokuwa imepoa huwa inatoa muungurumo wa juu kana kwamba nimekanyaga mafuta... Kisha baada ya dk 1 inatulia.

Msaada tafadhali
 
Unapotoa details za gari yako, jaribu kuwa specific. Taja mwaka wa gari ikibidi tuma hata picha tukusaidie kupata taarifa zake.

Sienta zipo matoleo tofauti ya miaka tofauti. Me sijui unamiliki ipi.

Ila kwa ninavyojua hizo gari zinatumia transmission ya mfumo wa CVT and therefore sijaconfirm kama ni zote au na yako pia ipo hivyo.

Kama ni CVT then tumia specifically oil ya CVT na kama ni ile ordinary ya ATF then tumia hiyo ya kawaida.

Share detals zaidi za gari yako tukusaidie.
 
Sienta inatumia CVT-TC made by Toyota (ukitoa ile deep stick ya kwenye gear box utakuta umeandikiwa use CVT-TC only, sasa ukijichanhanya ukaweka sijui ATF kwisha habari yako.

Pia kuhusu injini kua na idle speed ya juu wakati injin inapokua ya baridi ni kawaida. Inafanya hivo ili injini iwahi kupata its operating temperature, ikifika tu utaona idle speed inapungua to normal speed (600 to 650 RPM).
 
Back
Top Bottom