Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 602
Wizi ni kitu kibaya Sana, si jambo zuri na nisomapo masuala yanahusiana na uvamizi huu napata ganzi.
Kwa waliowahi kuvamiwa wakalazimishwa kutoa Mali zao na Fedha ama kitendewa vitendo vya ubakaji na ulawiti, wamama wajawazito kufanyiwa ushenzi waulawiti na wanaume kulawitiwa pia Wana experience mbaya ya maisha.
Haya si mambo mema na si vitu vya kuvinyamazia, ipo haja kubwa kujua visa hivi vipo na vinatokea maeneo mbali mbali.
Tusaidiane kujuzana mbinu za kufanya endapo utakuwa unaishi ukiwa na alerts ya matukio ya aina hizi. Inatokea wakati mwingine wananchi hatuna namba za Simu za vituo vya police. Ni hatari sana. Hizi contact zaweza saidia wakati wa majanga ya aina hiyo contact jeshi la polisi
Hili ni tukio la Chanika fungua.
Mtu mmoja amewezaje kiwadhibiti.
Sikia hii.