Namna ya kupiga Windows kwenye computer yako - Hatua kwa Hatua

McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,387
1,608
Jamii Forums.png

Kutokana na baadhi ya watu kuhangaika namna ya kupiga Windows kwenye computer zao. Nimeamua kukuandikia kitabu ambacho utaweza kuinstall Windows yoyote kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11 kwa urahisi zaidi. Baada ya kusoma na kuangalia tutorials, utaweza kuweka Windows yako kwenye computer yako popote pale.
Jamii forum.png

Hiki kitabu nimeambatanisha Video pamoja na software mbalimbali ambazo zitakusaidia:-
 • Kupiga Windows kwenye computer yako iwe XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11
 • Kutengeneza Windows bootable Flash Drive
 • Kutengeneza Windows bootable DVD
 • Kugawa partition kwenye computer yako
 • Kufuta partition kwenye computer yako (Partition ya kawaida)
 • Kufuta Unallocated partition au free space kwenye computer yako
 • Kupunguza ukubwa wa partition kwenye computer yako
 • Kuongeza ukubwa wa parttition yoyote bila kupoteza files zilizopo
 • Ku-convert MBR to GPT kwenye computer yako
 • Kurestore au kurepair computer yako
 • Kuactivate Windows yako ambayo utaweza kuactivate Wibdows XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 na 11
 • Kuondoa matangazo ya internet unapoperuzi mtandaoni. Nimekuwekea na Software yake kabisa
 • Utaweza kurudisha data zilizofutika kwenye computer, Hard disk, Flash drive na Memory Card
 • Utaweza kuinstall Net Framework 3.5 kwenye computer yako na drivers zingine kwenye computer yako
 • Utaweza kufahamu website ambazo zitakusaidia kudownload Windows XP, Vista, Server, 7, 8, 8.1, 10 & 11
 • Utaweza kuondoa Bios Password na kusolve matatizo mengine yanayohusiana na computer yako
 

McMahoon

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,387
1,608
Moderator wamefuta link. Ingia kwenye blog ya Fahusvera utakikuta kitabu
 
6 Reactions
Reply
Top Bottom