lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Marekani peke yake,ama NATO ama Marekani na washirika wake,kwa nyakati tofauti wamekuwa wakipeleka majeshi kwenda kufanya kile wanachokiita kuisaidia kuziokoa nchi zilizo ama vamiwa ama kuongozwa na watu wao waliowaita madikteta.
Kwa mara ya kwanza toka nimeijua Marekani na hata NATO.naposema Marekani kwa sababu Kuna kipindi Marekani inaingia vitani peke yake na Kuna kipindi inaingia vitani katika umoja wao ,yaani NATO.
Leo hii Ukraine inachapwa viboko na Urusi mbele ya wakubwa zake lakini NATO wanaangalia TU,wameshindwa kuingilia kijeshi kama walivyofanya kwa Yugoslavia,Iraq na Afghanistan na hata "Somalia."
Leo hii Marekani wameamua kutoa misaada ya silaha kwa Ukraine ili wakajifie mbele,
Kwa mara ya pili naona Urusi ikiipiga nchi moja na nchi hiyo ikipewa Silaha na nchi zote za Magharibi na zisizo za Magharibi,zilizo Wanachama wa NATO na zisizo Wanachama wa NATO.
Kitu pekee nilichoona nchi hizi za Magharibi na NATO wanachoweza ni kuiwekea vikwazo Urusi.
Hii ni aina mpaya kabisa ya vita Urusi imewekewa vikwazo vingi mno na Ukraine inapewa silaha nyingi mno,lakini sioni Urusi kutetereka.
Kibaya zaidi kwa mara ya kwanza tangu nipate akili ndio naona nchi zinazoweka vikwazo na zenyewe zinaathirika.
Kama NATO waliweza kuingiza majeshi kamili na askari wake kuzisaidia Kosovo na Bosnia ambae hakua mwanachama wa NATO,na kuipiga mabomu Yugoslavia, wanashindwa Nini kuiingiza majeshi kuisaidia Ukraine.?
Hakuna haja ya kutafuta sababu nyingine,ni kwa sababu Urusi Ina nguvu sana.
Urusi imezituliza nchi za Magharibi.
Zimebakia kubweka TU zikiwa uani kwao TU.
Marekani uingereza na Ufaransa walijaribu kumng'oa Assad,Urusi peke yake ikamkingia kifua Assad Hadi Leo yupo na Marekani Uingereza na Ufaransa wakapoteana.
Marakani ikataka kumng'oa Maduro,Urusi na china zikamkingia kifua Hadi Leo Maduro yupo..
Urusi haikumkingia kifua Sadam,Gadafi na Milosevic na Leo ni marehemu.
Urusi ikiiingia vitani na nchi moja ujue itapigana na nchi nyingi zaidi ya 40 nyuma ya pazia.
Urusi ilipoivamia Afghanistan ilijikuta inapigana na China,NATO yote, Pakistan,Saudi Arabia,Afhanistan na vikundi vya akina Osama bin laden.
Marekani ikizivamia nchi ndogo TU kama Iraq ama Syria,ama Libya inajikuta ikisaidiwa na nchi kadhaa na vi nchi hivyo wala havipewi msaada wowote kutoka kwa nchi yoyote.
Kwa kifupi Urusi ni sawa na Samson wa kwenye vitabu vya kale.
Walipojaribu kumfunga kamba alikata.
Labda aje Delila mwingine kwa Urusi.
Wameweka vikwazo vyote na wameanza kurudia.
Wanachangishana silaha na wengine wamesema hawatapeleka silaha Tena kwani zimebaki za kulinda nchi zao
Wanachangishana silaha na vikwazo ili kuishinda Urusi.
Haijawahi kutolea duniani vita chotara ya silaha na vikwazo.
Wanaoumia ni waukraine.
Sikuwahi kujua kumbe Urusi Ina nguvu namna hii.