Yaani ni binadamu pekee anaye weza kufanya kitu kile kile kwa zaidi hata ya miaka 50..
Chukulia mfano waajiliwa,
Yaani mtu unarudia kufanya kitu kile kile kwa zaid ya miaka 40 bila kukinai kweli?
Huu si wendawazimu?
Alaf unasema umeishi?
Umeishi au imemsaidia mwajiri wako kuishi? Ifike...
Mikutano ya hadhara ndio kipimo cha kuonesha namna chama kinavyokubakika kwa sera na maono.
Mikutano ya CCM iliyokuwa inaenseshwa na Mwenezi wa CCM Kihongosi ilikuwa inadorola. Hakuwa na hoja za msingi na hata alichokuwa anakinadi kwa wananchi hakuna aliyekuwa anamwamini. Hii ni kwa sababu...
Kielelezo cha kula kwa ufupi wa kamba
Sample bajeti
Idadi ya mikoa 5
Idadi ya wanufaika kwa mikoa yote ni 100
Viongozi 15 @200,000 = 3,000,000/=
Wasaidizi 50 @100,000 = 5,000,000/=
Vidampa 50 @50,000 = 2,500,000/=
500,090 logistics
jumla kuu 11,000,000/=
Kielelezo cha kula kwa urefu wa kamba...
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababu
sababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
Habari wanajf,
Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi?
Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi.
Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe?
Lakini tunasahau...
Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi.
Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo
Wekeni protocol mtu afanyeje...
Naona kama taifa letu halina future tena.
Mwalimu Nyerere aliwategemea hawa jamaa wa iliyokuwa USSR. Kwa ujinga uliokuwepo tukaimbishwa nyimbo kuwa ni watu wazuri na sio wanyonyaji. Lakini hakuna walichotusaidia zaidi ya wao kuuza siraha zao na kunufuika wakati wa vita vya Kagera na hata pia...
Haya sio mashambulizi bali ni nia thabiti ya Chadema kuchukua dola.
Mungu si Athumani. Maana Mungu hana ubaguzi wala choyo. Watanzania wamepata uelewa mkubwa sana. Hawaitaki CCM kwa namna yoyote ile.
Leo hii Chadema wanaibagaza CCM kam vile wanakaanga samaki.
Kuanzia ngazi ya mtaa hadi taifa...
Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi sana.
Kuna wakati nilikuwa nadate dada mmoja mkali sana ana shape na mzuri. akaaanza kunambia...
"Wake zetu wanafundishwa namna ya kuja kutushambulia ndani ya familia. Ukisikia vipindi vyote, mwanamke ambaye amekubali kwamba, 'Mimi mume wangu acha atafute, mimi acha nikae na watoto, nilee watoto,' anaonekana ni mjinga kwenye taifa hili.
Wanamtangaza kama mjinga: 'Unakubaliaje kukaa...
Kuna fashion... Acha zipite. Kuna mitindo au mambo yaache yapite. Ukiwa na umri wa kuanzia 30s na kuendelea unatakiwa ukue kiakili pia na kimtizamo.
Uvaaji flani unaweza kufanya watu wakuone haupo serious. Una ushamba mwingi au ulimbukeni. Mtu mzima kabisa unaweza vaa hivi? Ni utoto na ushamba.
Nimetoboka hela ndefu kwa huyu mdada kiasi kwamba hata akinitext kunisalimia bado nakumbuka gharama zangu na kulinganisha nae hata haviendani.
Nimekodi lodge ya gharama vyakula vya gharama na matembezi ya sehemu za VIP kwa pisi ya kawaida sana. Sasa najiuliza hayo yote niliofanya ni kwa ajili...
Kila mtu anajua nchi yetu imeingizwa kwenye laana ya damu
Siku hizi mtu kutekwa na kuuawa imekuwa jambo la kawaida sio watu wa kawaida hata watu mashuhuri na wanasiasa.
Viongozi wa dini wapo kimya ukiacha wakatoliki, wengi wanauunga mkono serikali iliyotufikisha hapa.
Tukiacha hii laana...
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya ubaya wake fanya utujuze. Huu ni ujuzi muhimu sana.
TRA ni wakala wa kukusanya kodi kwa niaba ya Serikali, lakini pia zipo serikali za Mitaa na mamlaka zingine.
Ishauri Serikali yako pendwa namna ya kukusanya kodi kwa watu wafuatao ambao wanaingiza malaki na milioni kwa siku lakini hata leseni ya Biashara hawakati:-
Wauza viatu , urembo na nguo...
Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi.
Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya.
Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri.
Nyongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.