Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,042
- 9,652
Kijana unakimbizana na bodaboda/bajaji kuanzia asubuhi mpaka usiku, mwisho wa siku unabaki na 20k–30k.
Ndani ya hiyo 30k una mwanamke/mke unaishi nae, deni linakusubiri, chombo ni cha mkopo, home Kijijini simu hazishi bado kuna matumizi ya hapa na pale.
Ukishika pesa kidogo inaisha hapo hapo. Maana una kausha damu kadhaa
Hakuna akiba. Hakuna plan (maana hata muda wakuwaza hiyo plan huna muda wote kichwa Cha moto)
Unajipa moyo “niko busy”, lakini ukweli ni huu uko stuck.
Miaka inaenda mara 50 paaap
Hakuna kinachokua.
Hakuna unachojenga.
Mwisho wake?
Unakuja kuwa mzee wa kutegemea wengine.
Sio kwamba hizi kazi ni mbaya hapana.
Lakini bila plan, zinakumaliza kimya kimya tahamaki 60 hii hapa 🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri