namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Katika kitu kimebakia kama nchi tunachojivunia ni hichi tuu

    Safarilager Moja ya bia nzuri zaidi kuwahi kutengenezwa kwenye uso wa Dunia.
  3. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha

    Kuna Watu Wanahitaji Msaada, Ila Hawajui Namna Ya Kuomba Bila Kujidhalilisha Habari wana JF, Leo asubuhi nimeamka na wazo moja zito sana kichwani. Kuna kipindi katika maisha mtu anapitia hali ngumu, lakini jambo gumu zaidi siyo hata kukosa—bali ni kujua namna ya kuomba msaada. Wengine wana...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukuza biashara

    Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji Namna ya kupata utajiri kwenye biashara Namna ya kupata wateja Namna ya kulinda biashara kikawaida...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani

    Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni kuomba kwa namna gani? Hebu tusome Yakobo 5: 17 “Eliya alikuwa mwanadamu mwenye tabia moja kama sisi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya Kumshukuru Mungu

    Nini maana ya Shukrani? Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na sadaka Mambo ya msingi katika kumshukuru Mungu Jambo la kwanza Moyo wa shukrani Moyo wa shukrani ni...
  7. Red black

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna yoyote ya kumuondoa huyo mtu kwenye throne.

    Nauliza TU. Yani na yeye siku aamke asubuhi ajikute hana cheo chochote kile. britanicca
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA TANESCO mtuelimishe hapa namna JNHP inavyoweza kutatua changamoto ya kukatika umeme

    Hongereni sana TANESCO, tumeshuhudia kukamilika kwa mradi huu mkubwa na hakika mtambo umewashwa leo, mmetuambia tayari mmeunganisha na gridi ya Taifa. Nina dukuduku hapa Gridi ya Taifa ni moja, kwa nini kusiwe na gridi za Taifa ambazo zinapokea umeme huo na kutumika kama backup iwapo moja...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tuanze kufikiri namna ya kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) kwenye Katiba ijayo ili kutengeneza umoja na mshikamano wa kitaifa

    Watanzania ,ninaleta kwenu wazo la kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa kwenye Katiba mpya.Ninapendekeza kwamba chama cha siasa au mgombea binafsi atakayepata kura kuanzia Asilimia Kumi (10%) kiwe ndani ya Serikali. Hii itasaidia kuondoa mtindo tulio nao sasa wa mshindi kuchukua vyote hata kama...
  10. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Mambo machache bora ya kuirudisha CCM katika misingi yake

    Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa 1. Zuia machawa katika chama 2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena. 3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je hili lipo sawa muwekezaji kutoa sharti la namna hii?

    𝐃𝐀𝐍𝐆𝐎𝐓𝐄 𝐖𝐀𝐍𝐓𝐒 𝐏𝐑𝐎𝐓𝐄𝐂𝐓𝐈𝐎𝐍 | 🛢 𝗔𝗹𝗶𝗸𝗼 𝗗𝗮𝗻𝗴𝗼𝘁𝗲 wants to build a mega oil refinery in Lamu. But there's a catch: They want government protection first. Dangote wants govt to block cheap imported fuel so his Lamu refinery can survive. No company will build for 5+ years if imports can undercut them...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka kituo hadi lango: Namna SGR nchini Kenya inavyobadilisha Voi

    Ali Khan, 17, aliweka sawa mkoba wake wa nyuma na kupanda treni ya mchana ya SGR katika Kituo cha Voi. Siku tatu kabla ya hapo, kijana huyo wa Kihindi na wenzake 74 waliokuwa wamepiga kambi waliwasili kwa treni ya asubuhi wakitokea Mombasa. Baada ya kuangalia msitu wa Tsavo, walikuwa wakiendelea...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Hivi watu wanaogopa nini? Weka namna hii vigezo

    Nimeona wengi wanatafuta wake au waume Nawapa mwongozo 1. Jitambulishe jina 2. Shughuli zako (si lazima kuweka kipato) 3. Umri wako 4. Watoto (Body count si lazima) 5. Jinsia (Me au ke) kulingana unatafta kuoa au kuolewa 6. Mawasiliano yako 7. Sehemu unapoishi 8. Ikibidi hata elimu yako...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Ufahamu: Namna ya Kuwabaini Matapeli wanaotumia mbinu ya kupiga Picha na Viongozi

    Matapeli wengi wa kisasa hutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa "Social Proof" (Kutafuta Uhuishaji wa Kijamii). Kupiga picha na kiongozi mkuu au mtu maarufu na kuipost mtandaoni huwasaidia kujenga uaminifu wa haraka (instant credibility) ili waathirika wasiwaatilie shaka wanapowaomba fedha au...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo namna ya kupata nafasi ya ndugu yangu kujiunga na elimu secondary pale kibaha secondary.

    Wakuu, nina ndugu yangu ambaye anamaliza la darasa la saba mwaka huu, kama ndugu tumeona tumtafutie shule ambayo haitakuwa mbali sana na makazi yetu. Ni mtoto yatima Jibu likaja ni kibaha secondary, huyu kijana anasoma pale olympio primary, sasa kimbembe kimekuja ni namna gani tunaweza kupata...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Namna wadada walivyokua wananisifia na wakaka wanavyoniogopa ndio nikajua kumbe mimi mzuri

    Unajua kioo cha kweli ni macho ya watu na jamii kwa ujumla, sio unajifungia ndani, unajiangalia af unasema we mzuri. acha jamii iamue wewe uko kundi gani. Mimi nilijijua kwa namna watu wanavyoreact kwangu, Yani ile unconsiously mnapiga story tofauti, ghafra, mtu anakwambia " Ila Haszu we mzuri"...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuuza hati fungani ya BOT

    Wakuu naomba msaada wa hatua za kuchukua kuuza hati fungani ya BOT, nimepatwa na dharula ninahitaji pesa niloiwekeza huko inisaidie.
  20. Mikhail Tal

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sekta binafsi nimehamia serikalini, kuna namna naweza nikapewa michango yangu iliyopo NSSF?

    Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF. Lakini kule NSSF nina michango yangu, hivi nauliza kuna namna naweza nikapewa hiyo michango huko...
Back
Top Bottom