masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,376
- 19,252
Nunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store
Ambayo hayajakaa sana store bado yana rangi yake kama soya njano unakuta unjano umekolea sana
Ila kama yamekaa store yanaanza kuwa kahawia
Uyasafishe vizuri kisha loweka kwenye bakuli na maji ya kawaida
Kwa masaa zaidi ya 6
Au kama unapika jioni loweka asubuhi
Ukirudi yapike
Kabla ya kupika mwaga yale maji uliyolowekea na uyaoshe tena kidogo
Dakika 10 tu kwenye gas au 20
Yanaiva vizuri sana na yanakua mazuri
Yanakua yamepungua kabisa gas kwa hiyo kwa watu wenye shida na maarage haya ni mazuri sana
Tia nazi yako ya kutosha
Unga kwa viungo upendavyo
Kwa wali au kwa chakula chochote