Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,128
- 8,058
Kama raha za muda mfupi hapa duniani zinafurahisha moyo namna hii... basi ni dhahiri tutakapoingia mbinguni tuta-enjoy sana sana! Tuta-enjoy kwa sababu huko uzima ni wa milele. Huko hakuna vita wala magonjwa, wala kilio wala kifo. Mbinguni hakuna kuzeeka, hakuna kula kwa jasho, hakuna ajali, hakuna mashetani wala wachawi. Ni maisha ya utukufu usioelezeka.
Mimi 'tiketi' ya kwenda mbinguni tayari ninayo. Wewe je, una uhakika utafika huko?
Mungu ametupa njia ya kufika kwake. Ni kupitia Yesu Kristo(Yn 14:6). Hiyo ndiyo 'tiketi.'
Chukua hatua leo: tubu dhambi zako, mwamini Yesu na umpokee ndani ya moyo wako kwa imani awe Bwana na Mwokozi wako. Ukifanya hivyo, hata leo ukiondoka duniani, utakuwa na uhakika wa kuingia mbinguni, kwenye raha ya milele. Ukiendelea kupinga na kukaidi, utajuta na kuteseka milele ndani ya eternal fire. Fanya uamuzi wa busara sasa.
Nawatakia wote enjoyment ya Pasaka!