namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. Marry Diana

    JamiiForums Tanzania Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu wote Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani. Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati vijana waliishi kuendana na rythm ya maisha hata kwa ugumu kuna namna waliitafuta humour ila sasa hivi vijana wamekuwa sadists kupindukia

    Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted. Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija. Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha. Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mdada ana Annabelle kubwa anavutia kwa namna yake

    Umewahi kutana na mwanamke ana Annabelle la kutosha kifuani? (Annabelle ni maziwa makubwa) Sijajua lakini kwa nini wengi huwa hawana shape chini. Ni nadra kumkuta mwanamke ana Annabelle kubwa, hips na makalio. Ila wengi wanakuwa na Annabelle na sura nzuri lakini chini humkuti ana makebo...
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Heshima, Thamani na namna unavyojiweka katika jamii

    Habari JamiiForum. Hope mko poa ladiz (ladies) & Gentlemen. Waungwana , Kila mmoja wetu anahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa,iwe Kwa namna yeyote ile tajiri au masikini,mfupi Kwa mrefu,mweusi na mweupe n.k. Kila mtu hujiona anapaswa kuheshimiwa,lakini je heshima na Thamani inakujaje? Ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza Nshala: Tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Lissu, zitatolewa na Uongozi mkuu, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa sheria

    Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao...
  6. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yale maeneo ya dada zetu yamekua sugu sana hasa hawa wa buku mbili

    Kwa masikitiko makuu Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna ulichokifanya huku wewe ukiwa hoi taabani, 1: kuna kila sababu ya kuwaza na kukubaliana kwamba asilimia...
  7. Jane Msowoya

    JamiiForums Tanzania Namna tunavyojitengenezea wazee wa ovyo

    Kijana unakimbizana na bodaboda/bajaji kuanzia asubuhi mpaka usiku, mwisho wa siku unabaki na 20k–30k. Ndani ya hiyo 30k una mwanamke/mke unaishi nae, deni linakusubiri, chombo ni cha mkopo, home Kijijini simu hazishi bado kuna matumizi ya hapa na pale. Ukishika pesa kidogo inaisha hapo hapo...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Pisi gani kali iliyomo humu tuende naye mbugani, tukajifunze namna ya kuijaza dunia?

    Kutokana na uchovu wa wiki nzima, imenibidi nitenge muda angalau wikiendi hii niende nikashangae viumbe wengine wanavyoishi wakiwa hapa duniani. Nimeazimia kutembelea mbuga mbili, sasa ili safari isinichoshe na niifurahie zaidi, nahitaji kampani ya pisi kali tukaangalie namna viumbe wengine...
  9. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Kuna namna gani nzuri ya kudai mishahara inapocheleshwa

    Naombeni ushauri maana humu kuna watu wengi wenye akili na experience tofauti tofauti ila naomba kufahamu namna nzuri ya KUDAI mshahara maana inaonekana BOSS Hana mpango wa kulipa mwezi mmoja na NUSU sasa na hatoi sababu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji

    Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka mingi tangu kuanzishwa kwake, imeshakuwa na wakurugenzi kadhaa, ila mara nyingi huwa wanaondoka kwa...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ayub Rioba: Rais Samia ameonesha misingi ya Demokrasia

    Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anasema kwa namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anapenda kusikiliza Mawazo na maoni ya watu wengine inadhihirisha wazi kiwango chake cha Demokrasia
  12. H

    JamiiForums Tanzania Siikubali CCM kwa namna wanavyoendesha nchi ila Sina Imani na mpinzani wake CHADEMA

    Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
  13. masai dada

    JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupika maarage

    Nunua maarage masafi kabisa ambayo hayajakaa sana store Ambayo hayajakaa sana store bado yana rangi yake kama soya njano unakuta unjano umekolea sana Ila kama yamekaa store yanaanza kuwa kahawia Uyasafishe vizuri kisha loweka kwenye bakuli na maji ya kawaida Kwa masaa zaidi ya 6 Au kama unapika...
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna namna wanawake supportive kwenye mahusiano wamekuwa nadra kupatikana

    The day before ya pasaka nilienda mahali kupunguza stress kwa Bahati mbaya hata Ile pesa ndogo niliyokuwa nayo nikaimaliza ishu na survive vipi hichi kipindi cha holiday mpaka pale nitakapopata pesa. Kuna manzi kama nyumba ya tatu nipo naye kwenye mahusiano anakaa kwao kwa vile ni sikukuu na...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama tuna-enjoy namna hii hapa duniani, mbinguni itakuwaje?

    Kama raha za muda mfupi hapa duniani zinafurahisha moyo namna hii... basi ni dhahiri tutakapoingia mbinguni tuta-enjoy sana sana! Tuta-enjoy kwa sababu huko uzima ni wa milele. Huko hakuna vita wala magonjwa, wala kilio wala kifo. Mbinguni hakuna kuzeeka, hakuna kula kwa jasho, hakuna ajali...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Posho ya mafuta ya wabunge ipo namna gani?

    Nimesoma humu kuwa wabunge hupokea lita 1,000 za mafuta kila mwezi. Hii wanapewa mafuta kama mafuta au pesa kulingana, bei ya mafuta ya wakati huo au pesa fulani fixed kila mwezi?
  17. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: Namna ya kufix issue ya Adsense YouTube

    Habari za uzima wana JF, Nina changamoto kidogo kwenye kufix Adsense kwenye YouTube Account Yangu, mwenye ujuzi kuhusu hili, Naomba msaada
  18. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea Misiba Pia ni namna ya Kuomboleza Tusifundishane namna ya kuomboleza Kifo ni kifo tu

    Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu wanapokufa.Ni desturi mbaya na ambayo sio ya kistaarabu.Hata hivyo kuna desturi mbaya zaidi ya viongozi kujaribu...
  19. A teller

    JamiiForums Tanzania Naomba Nielekezwe namna ya kufika idodi, Iringa kutokea Njombe

    Wasalaam Naomba kuelekezwa namna ya Kufika Idodi, Iringa nikiwa natokea Njombe kwa usafiri wa basi. Nipo mapumzikoni Njombe Nimekaa iddle na ningetamani kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani Mh. William Lukuvi Ahsante.
  20. Jchris14

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    Wakuu salamu. Naombeni msaada namna rahisi ya ku-verify number kwenye YouTube channel kwa sasa, na ni namba ya mtandao gani inakubali kwa haraka? Asanteni.
Back
Top Bottom