21 yrs Old: Siwezi olewa na mwanaume ambaye hana gari
25 yrs Old: Kikubwa tu awe na kazi ya maana. Mengine tutayaweka sawa tu
29 yrs Old: Awe na shughuli yoyote tu ya kumuingizia kipato
33 yrs Old: Kikubwa awe anasali
35 yrs Old: Nikijaariwa yoyote yule niko tayari, kikubwa ukuni tu
40 yrs...
Hii ni kwa waislamu,
Mlioruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja.
Yaani unayaanza maisha ukiwa hauna lolote vile unapambana na msichana wa watu (mkeo), vile anakupa njia wapi pa kuanzia wapi pa kumalizia, vile unaanguka anakusaidia kusimama tena. Mdada wa watu (mke mkubwa) mara achome vitumbua mara...
Habari wananzengo"
KWa wale wataalam wa jukwaa la teknolojia, naomba mnieleweshe namna gan naweza nikatambua kwamba hii saa janja ni band fulan?
Maana utakuta mtu anasema hii band 4, hii band 5
Sasa anawezaje kutambua hizo band?
Nawasilisha
Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo:
1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba?
2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
Kwa heshima na taadhima niiombe serikali kupitia TANROADS NA TARURA kuangalia namna ya kujenga barabara kutoka mafinga,kinyanambo c mpaka mlimba hata kwa kurekebisha au kujenga hata kwa changarawe hasa sehemu zile korofi ili kuwasaidia wananchi kuepuka na adha ya usafiri hasa kipindi cha masika...
Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.
Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
Habarini wana jamii forums, Hope everyone is excited as I am! ni matumaini yangu wote tu buheri wa afya ya mwili na akili. Kwanza kabisa Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema aliyetukutanisha siku ya leo, Kujumuika pamoja katika jukwaa hili kwa lengo la...
Ukiona mganga yeyote anakufuata akutatulie changamoto yako haijalishi kakufuata pm au ana kwa ana basi jua huyo ni tapeli.waswahili wanasema mwenye shida humfuata mganga. Kama yeye kakufuata basi wewe ndio mganga.
Mganga yeyote anayeweka bango kwenye nguzo ya umeme, kwenye magazeti, kwenye...
Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?!
Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS..
𝗩𝗶𝗴𝗲𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮...
TANZANIA imepokea Ugeni kutoka Nchi Ya Romania, yaani; State Visit... Tumetembelewa Na Rais wa Romania...
Miongoni mwa maeneo Tunayo nufaika nayo Sisi Watanzania kwa Waromania, ni; Biashara Ya Maparachichi, Kilimo, Na Afya.
Mikoa inayolima Maparachichi, Kama; Iringa, MBEYA Na Kilimanjaro, ina...
Habari waungwana!
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza.
Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini.
Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo.
Karibuni kwa...
Viongozi wetu wakati mwingine huwa wanaongea kama vile wanaongea na watoto wadogo!
Tumesikia viongozi wetu wakihutubia kwamba eti eneo la Jangwani kipande kinachojaa maji kwamba wataalam waliojenga hapo Jangwani waliikosea!
Kwamba makosa ya ujenzi ule siyo ya Serikali Bali wataalam ndiyo...
Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia kumeibuka Application nyingi za kutengeneza picha, ambazo zinaweka kubadili muonekano wa picha kwa namna nyingi na hata kuleta sintofahamu baadaye
Upotoshaji katika picha ni kitendo Cha kuhariri (edit) picha kwa kuongeza kitu, kupunguza kitu...
Ikiwa kama Jeshi la Wananchi wa Tanzania linakataza kabisa Raia wa Nchi hiyo kuvaa nguo zinazofanana na sare zake , huku likichukua hatua kadhaa za kuwadhalilisha waliozivaa kwa kuwavua nguo hizo hadharani na kuwaacha uchi wa mnyama , Inawezekanaje Jeshi hilo hilo likamwazima Ndege halisi ya...
Uadui upo rohoni, mtu anazaliwa nao.
Ili usalimike mbele za adui yako njia ni mbili tu;
1. Ukimbie mbele zake, ukiona adui amekuzidi nguvu au maarifa ili usalimike ni kumkimbia tu.
2. Umuue.
Hawa Hamas na watu wa jamii ya Palestine ni maadui wa Israel miaka na miaka. Israel akipata mpenyo na...
wakuu naomba msaada namna ya KUTENGENEZA AUTOMATIC templete ya matokeo ya shule ya msingi....yaani niwe naweka tu majina na matokeo, template yenyewe iwe inanitafutia jumla,wastani, daraja na nafasi.....automatic.....msaada wakuuuu
Habari wa JF,
Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wana umri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wana umri wa miaka 6. Ina maana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama...
Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo.
Dr. Makakala ni kiongozi wa taasisi ya usalama nchini anayepitia magumu kutoka kwa wale wanaotamani aondolewe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.