Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali:

Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
 
Tar 10-11/01/2023 saa 3-9 jion Dar es salaam, Ilala Bungoni mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo.

Mafunzo ni bure. 0788811136
 
Dah habari ungeileta angalau bado siku tatu sasa mpk tarehe 10 tutafika kweli wanaumwa homa watu wengi wanaofia kufariki week ya kwanza ya mwaka
 
Back
Top Bottom