Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana
Mke anayehitajika
Umri:22-29
Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan
Rangi: Mweupe...
Wanaume wa sasa mna matatizo gani haswa maana sielewi tatizo lenu ni kwamba hamtaki mabadiliko au akili zimeelemea kwenye mfumo dume au ni nini hasa?Hamna lilo la kheri kwenu,wanaume hamuishi malalamiko mnaongea hata kuwazidi wanawake, maana najua mwanamke ni itikadi yake kupenda kuongea...
KWA ALIYE SERIOUS 100%
A: KUHUSU MIMI
DINI: MKIRISTO
KIMO: Mrefu wa kadri
RANGI: Maji ya kunde
ELIMU: Degree
KAZI: Sijaajiriwa
NDOA: Sijawahi kuoa
MTOTO: Sina
UMRI: 34
MAKAZI: Kagera
Mengine tutaelezana
NAHITAJI mwanamke aliye tayari kuanza kuishi na mwanaume hata sasa (ndani ya muda mfupi...
Kabisa nahisi nerves system zangu zina shida. Either ni kuna uzembe flani unakuwepo au kuna hitilafu.
1. Nilianza tu kama kitu kidogo nachelewa kusikia maumivu yaani naweza kanyaga mwiba then nikatembea baada ya dk kadhaa mbele ndo nasiki maumivu kama nimekanyaga kitu kikali. Wakati nlikanyaga...
Waswahili wanasema Fuja Mali Kufa Kwaja, Kama kawaida Santana leo nimetua Babati Manyara, Nasikia Huku Kuna totoz za Laana.
Wazoefu nitonyeni Chimbo za Starehe zenye watoto safi wa Kimbulu.
Ova!
Habarini za masiku ndugu zangu, matumaini yangu mpo wazima kabisa kiafya kimwili na kiroho. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni kijana mwenzenu ambae nipo kwenye zone ya kuhustle kimaisha na pendekezo langu ni kuwa mfanyabiashara wa duka la nguo kati ya mikoa ya Arusha, Moorgoro, Moshi...
Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi.
Premio
Vitz
Nissan march
Carina
Corrola
Auris
Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani.
MREJESHOO
Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya matumizi yake, bali kwa jinsi thamani yake inavyokua kwa kasi na hivyo wengi kuona ni sehemu rahisi...