Nahitaji toyota raum new model

Bexb

JF-Expert Member
Oct 24, 2016
655
1,391
Habari ya usiku wakuu.
Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho.
šŸ”„Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc.
šŸ”„Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea.
šŸ”„ Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote
šŸ”„ISIWE rangi nyeupe.
šŸ”„Iwe na nyaraka zake halisi(full file)
šŸ”„Ikiwa ni kutoka kwa mmiliki mwenyewe itakua vema zaidi.
šŸ”„Offer yangu ni 9M pekee, ila kama chombo itakua mafuta KWELIKWELI pia LATEST zaidi naweza kujibana na kuongeza kodoooogo.

Nicheki WhatsApp kama unayo 0755963775
 
Back
Top Bottom