Nahitaji Beta Testers kwa hii App

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
1,996
5,054
Hello bosses...

Kama kichwa kinavyosema naomba watu wanaofanya jogging au mazoezi ya kutembea kunisaidia kutest hii app.

Ni very simple kutumia, app inapima steps ulizotembea au kukimbia, inacalculate distance pia inakupa avg speed yako.

Nahitaji testers wa aina tofauti tofauti ili nijue kama accuracy ipo ndani ya kiwango nilichoweka.

Ukigundua bug au error yoyote naomba unifahamishe hapa au kwa kunitumia ujumbe moja kwa moja. Any feedback or feature request is welcome.

App kwa sasa inapatikana kwa android tu na direct download link yake ni hii hapa, haihitaji internet connection kufanya kazi https://runtanzania.org/mymiles.apk

IMG_20221209_181118.jpg
IMG_20221209_181158.jpg
 
Mkuu nasambaza CV hii naweza itest kabisaa ila Fanya kuniwekea bundle tu

Utapata taarifa zotee
Hii iko offline chief.

Ni kwa joggers na wana mazoezi coz watatest muda wakiwa wanafanya mazoezi
 
Back
Top Bottom