nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa kusajili kampuni

    Habari wanaJF? Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia process za usajili wa kampuni kuanzia company name registration untill taratibu ya kufanya malipo...
  2. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania Nahitaji setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked

    Habari wakuu, msaada tutani. Naomba mwenye setups za Adobe(PS, XD, Illustrator na Premiere) ambazo ni cracked, anisaidie. Nipo Dar es Salaam. Nijulishe tuyajenge DM. Nitakujali hela ya maji ya kunywa kwa kutumia muda wako. Natanguliza shukrani.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji baiskeli aina ya Phoenix

    Hellooo wakuu habarini, Nahitaji kufahamu panapouzwa baiskeli aina ya Phoenix nahitaji kwa wingi sana kama mia moja au mia mbili nisaidieni location au namba za WAUZAJI Mawasiliano yangu ni +255686978566
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania MWENYE ANAUZA HIVI NAHITAJI.

    Nahitaji viti kama hivyo mwenye anavyo vipya nataka saba aje PM na bei yake
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Canter Tipper (dump a.k.a inayobenua)

    Maelezo zaidi Engine 4D (33-35) Spring iwe juu Gari iwe kwenye hali nzuri. Bei 19m (negotiable kidogo) Check me pm
  6. Joao de Matos

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuzifahamu hizi bunduki

    Hi inaitwa Tavor, Naomba kuifahamu zaidi kuwa ina inauwezo gani na Ni Aina gani. Ya pili Ni hi Inaitwa double barrel Gilboa snake rifle, Sijaelewa inakazi gani maana Naina in sehemu mbili za kutoa risasi Sasa sijajua inakazi gani. Na nimeona hata Jwtz wanaitumia Sasa sijajua inakazi gani...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Laptop Dell au HP Bajeti yangu ni 350k

    Ram4 Hardidisk 500gb Processor 2.50ghz Corei5, Charge 4 hours Bei 350k
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

    Thread closed. [emoji1374]
  9. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji used gas oven

    Habari. Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500. Note: iwe used. Iwe Dar Pwani au Morogoro Call/Whatsapp 0652494919
  10. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji kubadili Window OS na kuweka softwares kadhaa katika kompyuta yangu

    Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta ikiwa ni pamoja na Antivirus. 2. Ku install softwares kadhaa katika kompyuta: I. Adobe ...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Battery used ya Toshiba satellite

    Habari wakuu Nahitaji battery used ya Toshiba satellite ,aliyenayo atume Bei yake na picha (Kwa Dar es salaam tu) WhatsApp +255765696086 Models PA5024U-1BRS,PA5025-1BRS au PABAS260
  12. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  13. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana mwenzangu mkoa wa Iringa muaminifu na muona fursa tuje tufanye jambo

    Habari. Mimi nina mpango wa kuhamia Iringa. Ni jinsi ya kiume. Natamani sana kufahamiana na wenyeji, mtu mchakarikaji na mwenye maono na mwenye hofu ya Mungu. Sijali jinsi wala dini. Yoyote karibu. Kwa mawasiliano zaidi pm iko wazi
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

    Wapendwa wa Jamii Forums, Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo...
  16. bafetimbi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza Martial Art

    Wasalaam wazee. Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano. Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri. Je, ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya...
  17. al-baajun

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

    Habari wadau! Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde? Msaada jamani
  18. quality-septic tank

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwalimu wa Plumbing

    Habari Wana jamii. Nahitaji MWALIMU WA PLUMBING kwa mda wa ziada. Mimi nipo Dar es Salaam kwa mawasiliano 0757950516 namba ipo whatsapp
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Air conditioner

    Ya aina za Dual inverter, na vizuri zaidi nikipata makabila ya L.G / Panasonic Wapi naweza kupata na Bei zake zinatembeaje kwa wenye uelewa.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
Back
Top Bottom