Kichwa cha habari hapo juu cha husika.
Maisha ya upweke ymenichosha hivyo nahitaji mwanamke wa kuishi nae maisha ya kumpendeza Mungu.
Sifa kubwa awe na uhitaji wa mume kweli na pia awe mwanamke mwenye maono kuhusu maisha na awe mwanamke anayejitambua.
On top of that, elimu yake isipungue Bachelor degree ila inaweza kuwa hiyo au zaidi ya hapo sio tatizo. Awe amezaliwa kati ya mwaka 1990 hadi 2000.
More importantly awe mwanamke mwenye uwezo wa ku-handle mwanaume kama anayeongelewa kwa video hii hapa chini, maana nahisi nipo hivyo na kwa muktadha huo nahitaji mwanamke mwenye mawazo positive ili aweze kunifanya ndoto ninazofikiria kufikia tuweze kuzifikia kama familia na hatimae tuwe na mji bora na kuheshimika katika jamii itakayotuzunguka.
NB: Ukijifanyia tathimini na kuona upo tayari kuishi na mume wa aina hiyo na kweli una uhitaji wa mume wako, then usisite kunitafuta kwa ajili ya mazungumzo ya awali na kufahamiana zaidi.
KARIBU SANA 🙏 😘