nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji remote control ya Projector Epson anayejua chimbo tafadhali p

    Habari wanajf. Kichwa Cha habari kinajieleza.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni vibali gani nahitaji kuwa navyo ili kuwa na kampuni ya fumigation majumbani na maofisini

    Habari wadau. Kuna mahali nimeona hii fursa kwa hiyo ningependa kujua vibali vinavyohitajika na vifaa vinakopatikana
  3. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  4. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Raum, Spacio au Wish. Bajeti yangu ni Milioni 8

    Kichwa cha habari kinajieleza
  5. Nautico

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mtu wa ku share nae biashara

    Habari za wakati huu wana jukwaa Nahitaji kupata mtu kwa ajili ya kufanya nae biashara joint kwenye shughuli za uchimbaji Nina uzoefu wa miaka 2 kwa sasa,nikiwa namiliki duara kadhaa,miaro ikiwa na crush(garasha),mashamba yenye uwezo wa kuchimba Napatikana mkoa wa Mara wilaya ya Bunda...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Utulivu: Niende nchi gani yenye watoto wazuri?

    Uzi tayari.
  7. Imchomvu

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI MCHUMBA

    nahitaji mchumba mwenye umri 25-35 mwanamke alie tayari anicheki whatsaap tuyajenge 0694599179 nahitaji alie serious na tayari kuyajenga mahusiano.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

    Hello Members wa JF... Kama nilivyotangulia kusema kwenye kichwa cha habari. Ni kweli niko seriously natafuta agents wanaohusika na kazi za uarabuni. Niko tayari kufanya kazi za ulinzi, mashambani, bustani, supermarket au sehem yeyote rafiki. Kwa agent ambaye anahusika anitafute inbox au...
  9. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vijana 50 kubandika bango mjini DSM.

    Asee wakuu kwema? Kijana abandoned bango 100, kila bango 1 shilingi za kitanzania 800. Bandika bango 100 uchukue 80000 mzee mambo yasiwe mengi.. Kazi inataka watu wa dar wenye ari na nguvu na uhitaji wa kazi. Tunapendelea kufanya kazi na wa kiume zaidi. Kazi itaanza jumatatu na mwisho wa...
  10. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu tofauti kati Certificate of registration for Taxpayer Identification Number na Service levy

    Natumai mmeamka salama Familia ya wanajf Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba msaada wa kufahamu tofauti kati Certificate of registration for TIN na service levy(BRELA)
  11. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connections za redioni hasa hasa Crown fm, Mjini fm, Times fm na E fm

    Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa Au kama...
  12. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji vindama vya mbuzi

    Wapi naweza kupata Vindama vya mbuzi kama 20 na kwa bei gani? Nataka niweke shambani kwangu Mimi nipo dar.
  13. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwenza/mchumba/mpenzi/mke

    Asanteni.
  14. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu kuhusu mkoa wa Shinyanga

    Naomba kufahamu mji wa shinyanga nakama kuna mwenyeji ani Pm Tafadhali kama. Sio mwenyeji usinipm
  15. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Hatimaye, leo mimi ndio nahitaji ushauri kwenu wanajamii

    Iko hivi, 1. Leo nimegundua kuwa mwanamke ninaempenda sana ana ugonjwa ambao ni mtihani kwa watu wengi sana. 2. Ndugu zake wamekuwa wakiniharakisha nimuoe huyu binti tangu mwezi ule wa kwanza wa kukutana kwetu. Hiki ni kitu kilinitisha sana nikachagua kuvuta subira kwanza mpaka nijue ni nini...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, nipo Tarime

    Naitwa Vivian, nahitaji kazi yoyote, umri miaka 27, elimu kidato cha sita, nipo Tarime.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kindau kama hiki kwa ajili ya kukodi

    Nimefikiria suala la kukodi fremu na kuirekebisha ili kuanzisha biashara yangu ya glosari naona ni gharama, bora kipatikane kindau cha kukodi kama hiko. Bei zake zikoje, kwa hicho kindau cha chuma na kile cha mbao
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  19. Lenin23

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chumba kinondoni

    Wapendwa habari Kama una namba za dalali au chumba cha kupangisha maeneo ya kinondoni kindly pm me your number so that i can call you , natanguliza shukrani zangu za dhati.
  20. HOST NOT FOUND

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Scholarship ya kusoma SHAHADA YA SHERIA (LL.B) Nje ya Nchi -Naomba Ushauri wa Wadau

    Habari za wakati huu wapendwa wanajukwaa, Natumaini wote mko salama. Kwa heshima na unyenyekevu, naomba msaada wa ushauri, taarifa au hata fursa yoyote kuhusu scholarships (ufadhili wa masomo) zinazopatikana kwa ajili ya kusomea Shahada ya Sheria (Bachelor of Laws – LL.B) nje ya nchi. Nina...
Back
Top Bottom