Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,500
- 15,241
Habari wanazengo,
Nimekua na shauku sana la kusajili biashara yangu ya hardware itambulike rasmi kama kampuni, sasa katika kufuatilia nimekutana na vitisho vingi kutoka kwa watu mpaka inapelekea niwe na utulivu ili nipate elimu kwanza kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye kusajili kampuni.
Naomba kuuliza, nikisajili kampuni bila kuajiri mfanyakazi hata mmoja,sheria inasemaje upande wa SDL, WCF, Paye na Nssf, kwa uelewa wangu kampuni ambayo imeajiri wafanyakazi rasmi ndo sheria inataka iwe na hayo mambo yote ,
Karibuni mtufungue tupate mwanga kidogo juu ya haya maswala