nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi 5 za kazi ya kushona (corporate uniforms), jaribu bahati yako

    Wadau, Leo tumekuja na fursa ya kazi (paid opportunity) kwa mafundi waliopo Dar es Salaam. Inaweza ikakufaa wewe au mtu unayemfahamu. Mfikishie taarifa hii. Tunahitaji Mafundi 5 wenye ujuzi wa kushona nguo za aina zifuatazo: 1. Suruali 2. Makoti ya wapishi wa hoteli 3. Mashati 4. Apron 5...
  2. JamiiForums Tanzania Je, majina ya nafasi za kazi za TRA yameshatoka?

    Wapendwa samahani sana, Naomba kufahamu kuhusu zile nafasi za kazi kwa wake waliotuma maombi Aprili 2022, ni kweli majina yalishatoka? Usahili tayari umefanyika na wameingizwa kazini?
  3. JamiiForums Tanzania Hapa Duniani tunapita lakini, Kuna watu Wana/watakuwa na nafasi za kipekee mbinguni

    Ufunua wa Yohana 22:12 Neno: Bibilia Takatifu Yesu kristo anasema, 12 “Tazama, Ninakuja upesi! Nakuja na tuzo yangu, nimpe tuzo kila mtu kulingana na matendo yake. Duniani hatuna muda kabisa Tuzo yako , kwenye mshahara ule ambao Kila mtu ata upokea upo kwenye Yale UTAKAYO TENDA NA SIO...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanatembea na mizigo mizito kichwani ukipata nafasi wasikilize

    Leo nikiwa katika usafiri wa jamii baba mmoja mwenye plasta jichoni alinisalimia vizuri tu na kuniuliza ninapoelekea. Ni wazi kuwa alikua anatafuta mtu wa kuongea nae ila asichokijua ni kuwa ninashare story humu jukwaani hasa mikasa halisi ya watu. Huyu bwana alidumu kwenye ndoa kwa miaka 28...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wilaya ya Serengeti

    https://serengetidc.go.tz/announcement/tangazo-la-nafasi-za-kazi-serengeti-3
  6. N

    JamiiForums Tanzania Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Kama msimu huu unaoisha tulianzia round ya kwanza tukiwa ranked number 15 kwa ubora afrika na kupata bahati ya timu 5 zilizokuwa juu yetu kuvurunda kwenye domestic leagues zao tukapata nafasi ya kuanzia round ya kwanza why not mwaka huu? Tuko nafasi ya 14 kwa ubora barani afrika lakini katika...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba watumishi wasiopitishia mishahara yao benki ya CRDB hawana nafasi ya mikopo katika benki hiyo?

    Hili suala nimelisikia sehemu ndugu zangu wanajamii forum kwa mnaojua ukweli wa suala hili Basi mtujuze tusiojua vizuri.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Kusambaza vinjwaji kwa pikipiki

    Nina duka la jumla nahitaji kijana mjuzi wa kuendesha pikipiki kwa ajili ya kusambaza vinjwaji Eneo: Kimara Njoo p.m tujadili Vigezo vya kazi ni nidhamu na kujua kuendesha pikipiki
  10. JamiiForums Tanzania Emanuel Giniki Gisamoda Ashika Nafasi ya kwanza Geneve Marathon (42K), Switzerland Leo.

    Mwanariadha Emanuel Giniki Gisamoda ashika nafasi ya kwanza katika Mbio za Generali Geneve Marathon ( 2:10:39) huko Geneva Switzerland Jumapili 15 Mei 2022 katika kilomita 42, ambapo amewashinda wa Kenya na waethiopia. Giniki ni Mwanariadha pekee anaefanya vizuri katika Riadha hapa nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi waliyopoteza wamama wabunge 19 katika siasa zetu

    Ninasikia kulikua na nguvu kubwa iliyotumika kuwashawishi mama zetu mpaka kufikia kuapishwa kwenye garage kule Dodoma na kuitwa wabunge wa Upinzani bungeni. Hata kama walitishwa kwa mtutu wa bunduki, ile ilikua chance ya 19 kuomba hifadhi ya ukimbizi nchi yeyote ile duniani. Wangeutumia muda...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi - Sales and Marketing

    Tunatafuta vijana waaminifu na wachapakazi ambao watakuwa tayari kufanya kazi Dar es Salaam, Dodoma na Arusha. Ambaye yupo tayari kufanya kazi kwenye timu yetu ya Sales and Marketing anakaribishwa kutuma maombi. Vigezo: Awe na umri usiozidi miaka 34. Awe na uwezo wa kuongea na kuandika lugha...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii, written interview

    Hello, Ninajiandaa na usaili wa written, nafasi ya Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka utumishi Naomba mwenye vidokezo, written yao inalenga maeneo gani haswa?
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  15. JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

    Hello bosses....... Nimekaa na hii experience kwa muda mrefu ila leo nikakutana jamaa fln wanabishana khs dini nimeona ni bora niisimulie labda inaweza kusaidia. Ni story ndefu ila nitajitahidi kufupisha na pia sina uzoefu sana kuandika makala za namna hii hivyo kiswanglish na typos...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA Serikali imetangaza ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) George Simbachawene amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Ningepata nafasi ya kushauri TAMISEMI

    Nitoe ushauri kwa upande wa ajira hizi za ualimu na wataalamu wa afya Mpaka sasa kada ya ualimu nafasi ni 9800 na waombaji wa hiyo nafasi ni laki moja na elfu kumi na tisa (119000). Roughly ni kwamba nafasi moja inagombaniwa na watu 12, pia upande wa afya naona hali sio mbaya saana kama kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Je, sera ya ajira ina haja ya kuboreshwa? Hadi sasa walioomba ajira ya ualimu ni 1215% ya nafasi ziliotangazwa

    TAMISEMI walipewa kibali cha kuajiri waalimu wapya 9,800 na walioomba ajira hadi kufikia Mei 4 ni watu 119,133 ambayo ni 12.15 larger than the available posts. Hiyo ni sawa na 1215.6%, na hapa TAMISEMI wameongeza muda wa kutuma maombi. Je Hii inakupa picha gani? Hata kwa watumishi wa afya, watu...
  20. JamiiForums Tanzania IMF 2022: Tanzania ipo Nafasi ya Nane kwa uchumi Mkubwa Afrika

    Makadirio ya shirika la fedha la kimataifa yaani IMF unaonyesha uchumi WA Tanzania umekuwa na kufikia $77 billion katika robo ya Kwanza ya 2022. Hilo ni ongezeko la Dola billion 12 kutoka GDP ya $65 bilioni, Tangy hakunawahi kuwa na ongezeko la bilioni 12 ndani ya mwaka mmoja. Ila tofauti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…