Ndugu zangu wa-Tanzania mambo vipi? Mko poa? Kama jibu ni ndio basi fresh na kama sio basi hakuna tabu, ila ninamachache ya kuzungumza na ninyi then niende zangu.
Nisikilize sasa,
Hakuna kipindi kigumu wanachopitia watanzania kama kipindi hiki na wengine wameanza kwenda mbali zaidi na kutafuta...
Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu.
Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza na simba, ni timu ya kawaida ambayo kwa jicho la kiufundi nimeona bado inatafuta muunganiko baada ya...
UTANGULIZI
Hivi karibuni tumeshuhudia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na mwanasiasa na mwanasheria kijana akihoji juu ya sheria inayotaka mgombea Wa nafasi za ubunge awe na umri wa zaidi ya miaka ishirini na moja, huku haki ya kikatiba ikimtaka kijana mwenye umri wa miaka 18-19 na 20 kupiga...
Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri.
Kwa maneno mengine, yeye...
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini Mashariki imepata kibali cha ajira 6 za Watumishi wa Kada za afya kwa ajili ya Hospitali na vituo vya afya.
Sifa za waombaji ni kama ifuatavyo;
DAKTARI DARAJA LA II (NAFASI 1)
Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa binadamu...
Huo ndiwo ukweli.
Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo.
Kama yupo awaye na matarajio hayo ni bora ayafute.
Ifahamike wabunge wote waliopo mle bungeni kwa sasa ni zao na bila kupepesa...
𝕋𝕆ℤ𝕆 ℕ𝔻𝕀𝕆 ℕ𝕁𝕀𝔸 ℙ𝔼𝕂𝔼𝔼 𝕐𝔸 𝕂𝕌ℤ𝕀𝔹𝔸 𝔾𝔸ℙ𝔼 𝕃𝔸 𝕋𝔸𝕊𝕂 𝔽𝕆ℝℂ𝔼 ℤ𝔸 𝕁ℙ𝕄?
𝙽𝚊 𝚃𝚑𝚊𝚍𝚎𝚒 𝙾𝚕𝚎 𝙼𝚞𝚜𝚑𝚒.
Ukiniambia niishauri Serikali yangu kuhusu Tozo nitawashauri kwa haraka kama ifuatavyo.
Rais Samia Sio muumini wa task Force kama zile za Magufuli za kupambana na matajiri pamoja na wafamya Biashara kwenye...
Wasalaam,
Hebu pitia video hizo zote then njoo u-comment,Huyu kijana naona anastahili nafasi ya juu hapo baadae, Je, Wewe unaonaje?
===
Tazama, huu ni usiku ila vijana wanagoma kumruhusu kijana huyu aondoke
Kama mnavyofahamu nafasi ya usemaji na nafasi nyingine zipo wazi .
Mchambuzi wa michezo ndugu Jemedari Said bin Kazumari ameomba nafasi hiyo huku akiwa ametimiza vigezo kadhaa vya awali Kama elimu na kuwa mwananchi (mwanachama wa Yanga tangu 2001).
Tumtakie Heri katika hili.
Yanga wametangaza kazi sehemu mbalimbali lakini mpaka uwe na kadi ya uanachama.
Kazi za Professional mpaka uwe na kadi???! Eg. Daktari kuna ulazima gani awe na kadi!
Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia
Wakenya sio waumini sana wa...
Ni Mtangazaji ambaye ukiwa Unamsikiliza tu utagundua kuwa Kwanza ni Mswahili Mswahili.
Ni kwamba jana alipoingia (alipoanza Kipindi cha Michezo) cha Sports Headquarters cha EFM Saa 3 Kamili za Asubuhi alianza na Mbwembwe zake za Kishamba na 'Kujimwambafai' kuwa ameshinda Nafasi ya Uenezi katika...
Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki
Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania nafasi hiyo.
Idadi hiyo inaashiria mchuano...
We are looking for competent, skilled, and experienced talent to work on the EACOP (East African Crude Oil Pipeline) construction project in Uganda. Suitable candidates are encouraged to apply for the following positions;
Kiswahili ni nini?
Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi katika bara la Afrika.
Kiswahili ni lugha yenye mawanda mapana kimatumizi na katika mwendo wake. Lugha hii ina nafasi nyingi kitaifa, kikanda na kiulimwengu.
Katika makala haya tutaangazia...
Habari ya asubuhi wanajamii
Nimekua nafuatilia baadhi ya mambo yanayofanyika katika jamii ya Tanzania leo kwakweli yanasikitisha na kukatisha tamaa. Wakati tunaendelea kulia kuhusu ugumu wa kudumu kwenye mahusiano kwa wanandoa au wapenzi tusisahau kuangaliza chanzo cha ugumu huo.
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.