Hapa Duniani tunapita lakini, Kuna watu Wana/watakuwa na nafasi za kipekee mbinguni

Uyu hapa

JF-Expert Member
Oct 14, 2021
348
401

Ufunua wa Yohana 22:12​

Neno: Bibilia Takatifu​

Yesu kristo anasema,​

12 “Tazama, Ninakuja upesi! Nakuja na tuzo yangu, nimpe tuzo kila mtu kulingana na matendo yake.

Duniani hatuna muda kabisa

Tuzo yako , kwenye mshahara ule ambao Kila mtu ata upokea upo kwenye Yale UTAKAYO TENDA NA SIO ULIOTENDEWA,

ULIOTENDEWA ,ATALIPA MWENYEWE MUNGU KWA NIABA YAKO KWA HAO WALIO KUTENDEA,

UKIJICHUKULIA HATUA KUlIPA, TEARI KULE ISHAREKODIWA UNAKUWA UNAJIONGEZEA MATUKIO ,

ILA YALE ATAYOKULIPA MWENYEWE MIKONONI MWAKO KAMA MSHAHARA WAKO ,KITACHO ANGALIWA NI KWA ULIO TENDA WEWE.

ÀINA KUU MBILI YA CHIMBUKO LA MATENDO NDANI YA MTU

1.Kuna matendo ya NDANI YAKO ,

Haya ni Yale matendo ambayo hayaonekaniki Wala kugusika ,mfano , chuki,hasira,wivu ,uchungu , unafiki wa ndani , kuong'ong'a mtu Kwa ndani ,uchungu ,kisasi wa kisasi ulio ndani Bado hajaonekana Kwa njee Kwa matendo na kiu ya dhambi,mawazo mabaya, mipango yote miovu,

Sasa hizo dhambi zisizo onekana zinahifadhiwa kwenye moyo Kwa stoho na mawazo Kama SEHEMU yanapozaliwa.

Kuna uchoyo - tumbo , ubinafsi hii kutokana na kiwango kidogo Cha kujuwa mahana harisi ya maisha kiroho sio kimwili.

Ko maeneo yakushugurikia dhambi za ndani kwenye maombi yako ni hayo;

Moyo,mawazo,tumbo,fikra ,kiwango kidogo Cha ufahamu wa mambo ya kiroho Kwa kutokuwa mtafiti na kukusanya taarifa sahihi za kutosha.

2./Dhambi za NJEE

Hizi ni zile dhambi zinazo onekana na Kila mtu hata mwenyewe utandaye unakuwa unaziona na kujijuwa,na zinashikika ,
mfano
Dhambi hizo ni ;;

Utokozi wizi ufisadi ,uasherati,kujichuwa,uzinzi,ulevi,ukahaba ,rushwa atowae na apokeaye zipo nyingi tu zote ambazo zinaonekanika na hata hii kuhabudu sanamu Soma

Kutoka 20:4

Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia

Mwanadamu ana mwili nafsi na roho ,kati ya mwili na roho Kuna nafsi ibebayo tabia ya mtu ,na

kati ya hiyo nafsi na roho Kuna moyo, ko moyo ni Kama daraja la vya rohoni kufikia kwenye nafsi , ko Mungu anapotaka kuhisha Roho yako na kukufunulia ya rohoni kukufikia inatagemea na moyo wako,koyo ni daraja yaweza ikawa SEHEMU ya kuzuiya ya rohoni hata lile ulilomuomba Mungu.

Likishafika kwenye nafsi utendaji wa mwili unabadilika unakuwa mtakatifu.

Lakini kwanza lazima ujiungamanishe na Mungu,Kwa kumpokea yesu kristo sio tu Aishi na wewe Bali aingie ndani yako na ufanywe upya Kwa kuzaliwa Mara ya pili, yaani hio ni sawa na kuweka raini ili vya rohoni vikufikie.

Unajisajiri ,kuwa na wewe unaamini ungetamani kuwa mwana wake Mungu, ndio atakuonyesha Mengi usiyoyafahamu

Usiendekeze maisha ya Dhambi , Wala sio ujanja.

Hivi sasa unaweza ukawa unasikia sauti ya Mungu inayolia ndani yako inayokushuhudia hiyo njia yako sio sawa, hio sauti ya ndani ikuonyayo maisha yako ya Dhambi haitadumu milele ipo siku itanyamaza,.

Balaa linaanzia hapo, iyo sauti ikinyamaza ndani yako

Ndugu,

Usitamani ufikie hiyo hatua kwa maana utakuwa ni wakati mgumu sana ambao ,

hata uhubiriweje Injili ,mafundisho ya Mungu, hautashawishika tena kugeuka kwasababu umeshakatwa kwenye ule mti uliozaniwa ungeweza kumzalia Mungu matunda .

Ukishakatwa

kama umeangukia kwenye ulevi utaishia huko huko kwenye ulevi mpaka kuzimu na kupokea hukumu ya milele kwenye ziwa la moto la milele

Ukikatwa kama umeangukia kwenye UASHERATI utalala huko huko mpaka ile siku ya hukumu.
kikatwa na kama umeangukia kwenye ANASA utalala huko huko na maisha yako ya anasa mpaka kifo chake usijistukuzie Kama uko kwenye njia mbovu ya watensao dhambi kustukia mpaka kuzimu.

Ndugu ,kosa vyote lakini sio swala la Kutengwa na Mungu maishani mwako Milele kwenye ziwa la moto.

Nina maswali muhimu ambayo ningependa Kila mtu ajiulize,

JE , UMEKUWA MTUMWA WA DHAMBI KWA MUDA MREFU ???

JE , BADO UNAFURAHIA KUDUMU KATIKA MAISHA YA DHAMBI ??? ,

JE, UNGEPENDA KUDUMU KATIKA MAISHA YA DHAMBI ???

KAMA SIO UMECHUKUWA JITIHADA GANI ???

NA HIZO JITIHADA ZIMELETA MATOKEO GANI ???

Kumbuka hakuna dhambi ambayo yesu kristo hakuifia

Hapa Duniani tunapita lakini ,Kuna watu Wana/watakuwa na nafasi za kipekee mbinguni , Yawezekani wewe ukawa mmoja wapo,

Ko usichoke kutenda mema,kuwa mtu wa haki, mtakatifu. Mbingu ni halisi na ziwa la moto la Milele ni harisi.

Jitahidi kumshirikisha Mungu Kwa unyenyekevu wote na huku ukionesha Nia na kiu ya kutaka kuacha tabia yoyote sugu inayokusumbuwa na kukufanya uwe na maisha ya Dhambi ,

Kama ni Mapenzi,uhusiano ,ndoa na URAFIKI vilikuwepo tumezali tumevikuta tutaviacha hapa Duniani, na wakati mwengine vinaweza vikawa SEHEMU ya kukupumbaza akili usimuone Mungu milele ,maana ukipenda hivyo vitu kuliko kumpenda Mungu Kwa hakika hutomuona Mungu.

Jambo ambalo pia unaweza kuonyesha unampenda Mungu ni Kwa kuiheshemu na kuupokea kazi aliyoifanya mwana wake pale msalaba , kupokea zawadi ya wokovu ,Kwa kumuhalika yesu kristo Aishi ndani yako .

Jambo la msingi ni uhusiano wako Kwa Mungu Kwa njia mbalimbali ibada n.k[\B]
 
Usiendekeze maisha ya Dhambi , Wala sio ujanja .

Hapa Duniani tunapita lakini ,Kuna watu Wana/watakuwa na nafasi za kipekee mbinguni ,

Yawezekani wewe ukawa mmoja wapo,

Ko usichoke kutenda mema,kuwa mtu wa haki, mtakatifu ,

Mbingu ni halisi na ziwa la moto la Milele ni harisi

Jitahidi kumshirikisha Mungu Kwa unyenyekevu wote na huku ukionesha Nia na kiu ya kutaka kuacha tabia yoyote sugu inayokusumbuwa na kukufanya uwe na maisha ya Dhambi ,
,
Hujui hata kuandika...sijui tunakusaidiaje
 
Hujui hata kuandika...sijui tunakusaidiaje
Asante KWELI sijui kuandika,

Ila ninaswali moja kwako,

JE, UNGEPENDA KUDUMU KATKA MAISHA YA DHAMBI ??

KAMA SIO UMECHUKUWA JITIHADA GANI???

NA HIZO JITIHADA ZIMELETA MATOKEO GANI ???[\B]
 
Wenye kiu ya ndani ya kuacha dhambi, muda ni Sasa ,nakushauri acha dhambi ,

Peke yako huwezi ,unaitaji nguvu ya Mungu, itakayo kuwezesha kushinda vyote vya Ulimwengu huu
 
Hivi sasa unaweza ukawa unasikia sauti ya Mungu inayolia ndani yako inayokushuhudia hiyo njia yako sio sawa, hio sauti ya ndani ikuonyayo maisha yako ya Dhambi haitadumu milele ipo siku itanyamaza,.

Balaa linaanzia hapo, iyo sauti ikinyamaza ndani yako

Ndugu,

Usitamani ufikie hiyo hatua kwa maana utakuwa ni wakati mgumu sana ambao ,

hata uhubiriweje Injili ,mafundisho ya Mungu, hautashawishika tena kugeuka kwasababu umeshakatwa kwenye ule mti uliozaniwa ungeweza kumzalia Mungu matunda .

Ukishakatwa

kama umeangukia kwenye ulevi utaishia huko huko kwenye ulevi mpaka kuzimu na kupokea hukumu ya milele kwenye ziwa la moto la milele

Ukikatwa kama umeangukia kwenye UASHERATI utalala huko huko mpaka ile siku ya hukumu.

Ukikatwa na kama umeangukia kwenye ANASA utalala huko huko mpaka kuzimu.

Ndugu ,kosa vyote lakini sio swala la Kutengwa na Mungu maishani mwako Milele kwenye ziwa la moto.
 
Hivi sasa unaweza ukawa unasikia sauti ya Mungu inayolia ndani yako inayokushuhudia hiyo njia yako sio sawa, hio sauti ya ndani ikuonyayo maisha yako ya Dhambi haitadumu milele ipo siku itanyamaza,.

Balaa linaanzia hapo, iyo sauti ikinyamaza ndani yako

Ndugu,

Usitamani ufikie hiyo hatua kwa maana utakuwa ni wakati mgumu sana ambao ,

hata uhubiriweje Injili ,mafundisho ya Mungu, hautashawishika tena kugeuka kwasababu umeshakatwa kwenye ule mti uliozaniwa ungeweza kumzalia Mungu matunda .

Ukishakatwa kama umeangukia kwenye ulevi utaishi huko huko mpaka kuzimu na kupokea hukumu ya milele kwenye ziwa la moto la Milele

Ndugu ,kosa vyote lakini sio swala la Kutengwa na Mungu maishani mwako Milele kwenye ziwa la moto.
Hakika
 
Hivi sasa unaweza ukawa unasikia sauti ya Mungu inayolia ndani yako inayokushuhudia hiyo njia yako sio sawa, hio sauti ya ndani ikuonyayo maisha yako ya Dhambi haitadumu milele ipo siku itanyamaza,.

Balaa linaanzia hapo, iyo sauti ikinyamaza ndani yako

Ndugu,
Usitamani ufikie hiyo hatua kwa maana utakuwa ni wakati mgumu sana ambao ,

hata uhubiriweje Injili ,mafundisho ya Mungu, hautashawishika tena kugeuka kwasababu umeshakatwa kwenye ule mti uliozaniwa ungeweza kumzalia Mungu matunda .

Ukishakatwa

Ndugu ,kosa vyote lakini sio swala la Kutengwa na Mungu maishani mwako Milele kwenye ziwa la moto.
Asante kwa ujumbe mzuri!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom